Alikiba - Mbio

Alikiba - Mbio

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
799
Reaction score
2,058

Allow me to introduce to you MBIO ngoma ambayo niliandika miaka 10 iliyopita nilipokwenda Oman [emoji1190] kwa mara ya kwanza, miaka 10 baadae niliporudi Oman kwa ajili ya concert yangu kubwa at Intercontinental Hotel, I got inspired to finalise the song na kushoot Music Video in Muscat.
 
Hizo mbio anakimbilia wapi na lini na itakuwa muda gani tukampe kampani kidogo
 
Kuharibu MB za watu tu, nimejuta kuifungua. Jamaa hawezi kubahatisha angalau nyimbo hata moja akaimba kama zamani?
 
Hii timing yake bhna Anataka tuanze kuufananisha na ule wa jamaa ili apatie(mo) kiki, tumekushtukia mzee..utakula kwa jasho lako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi shabiki wa kiba% but hii amebolonga dingilai
 
Huyu jamaa alikuwa anaimba vizuri sana zamani! Siku hizi sijui kapatwa na nini?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kati ya nyimbo zake za miaka ya karibun hii ni the best, hiyo pitch ya sauti naifananisha na ule wimbo wake wa macmuga
 
Allow me to introduce to you MBIO ngoma ambayo niliandika miaka 10 iliyopita nilipokwenda Oman [emoji1190] kwa mara ya kwanza, miaka 10 baadae niliporudi Oman kwa ajili ya concert yangu kubwa at Intercontinental Hotel, I got inspired to finalise the song na kushoot Music Video in Muscat.
Wow! Moyo unaenda Mbioooo,
Sauti classic,
Mashairi classic,
Video classic,
Video vixen yupo mwaah!

King Kiba hajawahi kukosea ila kwa wapenda vigodoro hawataelewa.
 
Back
Top Bottom