Fid Q anajiita GOAT au mzee mbuzi. Kiba kaiba hii yeye ni kibakuli.
Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokayaFid Q anajiita GOAT au mzee mbuzi. Kiba kaiba hii yeye ni kibakuli.
fiesta dsm ilikuwaje ?
Kwa Lipi hasa.Labda hawa
#dully
#blue
#fid.
#jide. Nk
Nao ni angalau
Great Of All Time ()Ana maanisha nini?
Kwa akili yako pasu kwa pasu na Pozi Kwa Pozi ni maneno sawa....Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q
Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q
Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
Yani umewApatia haswaaaaaTimu domo kaya elimu zero. Eleweni kwanza maana ya neno GOAT ndo mje mlalamike haimaanishi mbuzi jamani
Fid Q anajiita GOAT au mzee mbuzi. Kiba kaiba hii yeye ni kibakuli.