fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,509
- 27,809
Tuwekee audio tusikie wenyeweNiaje wakuu hivi huyu king kiba anakwama wapi aisee ..? Yaani ile nyimbo yake mpya imepooza kajibweteka tuu yaani haifikii hata level ya nyimbo ya femi one na mejja yaani king kiba mpaka wakenya siku hizi wanakupita aisee em badilika basiii
Yess bishoo hasWaaaa
Mkuu binafsi sijauelewa huu wimbo sema utakiki kwasababu kuna mobetto but huyu jamaa inatakiwa atulie apunguze panic. Mziki ni kupanda na kushuka akubali tu kwamba kashuka. Mimi namshauri kama yupo humu ndani aanze upya kuimba yaani awe underground akubali kwenda studio kujipima uwezo asitoe nyimbo kwanza.
.
.
Maendeleo hayana vyama
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππAli Kiba hapendi kujionyesha tu,nicki Minaj kampigia sana simu King Kiba ili awe japo hata video vixen tu kwny huo wimbo jamaa akamchomolea nje akaona bora amchukue Mobeto.
Ametanguliza maslahi mapana ya nchi yetu,mi mzalendo na hapendi kujionyesha.