Nkyumu
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 332
- 104
Nimesikiliza hotuba ya JK kule Kagera ....akiwapiga mkwala wafanyakazi wa uhamiji na swala la wageni kuingia Tanzania na kuishi kwa vibali vya Local Goverment Officers....Akasema wasiwe waoga na kuacha ulegevu hivyo wafanye kazi zao kama inavyotakiwa la sivyo watafukuzwa wote wanaoshindwa kutimiza wajibu wao..
Swali kuntu :-
Wangapi mpaka sasa wameshafukuzwa kwa kutotimiza wajibu wao?
Swali kuntu :-
Wangapi mpaka sasa wameshafukuzwa kwa kutotimiza wajibu wao?