Ivi kama sina sanduku la posta na niko mikoani kwa mfano nikaandika po box songea ruvuma pamoja na namba ya simu mzigo nitaupata na hapa kwenye zip code nilazima kujaza

Achana na mambo ya posta kwamfano mimi nimewahi mala nyingi kununu vitu vidogovidogo toka uchina natumiwa mizigo yangu na kampuni ya kusafirisha vifurushi inaitwa ARMEX,jamaa wananiletea mpaka nilipo bila shida yoyote.
Wewe jamaa muongo,mbona Mimi nimewai kununua bidhaa kwenye mtandao kiasi cha tsh350,000/=kwa kutumia m pesa MasterCard na ilikubali bila shida,sema yeye uenda Kuna kitu anakosea.