Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,316
Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Juzi katika pita pita zangu fb/messenger nikakutana na rafiki mmoja wa kike kwa bahati mbaya ama nzuri tukasalimia kidogo. Sasa bwana... Baada ya salam hata hazijapita siku hata mbili mara paap nikaona maboresho ya kutaka kupigwa mizinga isiyo na maana.
Nisiongee sana maelezo zaidi yapo chini
Nisiongee sana maelezo zaidi yapo chini