Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,619 Dec 31, 2016 #1 Mtu aliepoteza pochi hii tafadhali ntafute, sitaki usherekee sikukuu hii vibaya,nami nimeona si vema niingie mwaka mpya na dhambi
Mtu aliepoteza pochi hii tafadhali ntafute, sitaki usherekee sikukuu hii vibaya,nami nimeona si vema niingie mwaka mpya na dhambi
kwenda21 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,423 Reaction score 3,416 Dec 31, 2016 #2 Dah mungu akubariki ,sana niliidondosha wakati naendesha pikipiki,Sasa chukua elfu kumi hapo,nyingine nitakupa maelekezo
Dah mungu akubariki ,sana niliidondosha wakati naendesha pikipiki,Sasa chukua elfu kumi hapo,nyingine nitakupa maelekezo
monicer JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 248 Reaction score 233 Dec 31, 2016 #3 kwenda21 said: Dah mungu akubariki ,sana niliidondosha wakati naendesha pikipiki,Sasa chukua elfu kumi hapo,nyingine nitakupa maelekezo Click to expand... Hahahahaha
kwenda21 said: Dah mungu akubariki ,sana niliidondosha wakati naendesha pikipiki,Sasa chukua elfu kumi hapo,nyingine nitakupa maelekezo Click to expand... Hahahahaha
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,516 Reaction score 89,013 Dec 31, 2016 #4 naona ni jukwaa la jokes!!
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,267 Reaction score 18,326 Dec 31, 2016 #5 Umechelewa mkuu...nilisikia bwana mmoja wa kipemba akitangaza toka juzi lirudishwe kabla hajafanya yake..keshafanya tayari [emoji23][emoji23]
Umechelewa mkuu...nilisikia bwana mmoja wa kipemba akitangaza toka juzi lirudishwe kabla hajafanya yake..keshafanya tayari [emoji23][emoji23]
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Dec 31, 2016 #6 Kanyaboya. Zimefungwa elfu 2 mbili na kuzungushiwa elfu 10.Kwa hiyo sio nyingi sana kama unavyotakiwa udhanie.
Kanyaboya. Zimefungwa elfu 2 mbili na kuzungushiwa elfu 10.Kwa hiyo sio nyingi sana kama unavyotakiwa udhanie.
damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Dec 31, 2016 #7 Hivi kupeleka vitu(Lost&found) kituo cha polisi imeshapitwa na wakati?
Wa kusoma JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,454 Reaction score 2,984 Dec 31, 2016 #8 Uwiiiiiiii! Hii si ni ya Marehemu Kanumba jamani?
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Dec 31, 2016 #9 Kajolijo said: Mtu aliepoteza pochi hii tafadhali ntafute, sitaki usherekee sikukuu hii vibaya,nami nimeona si vema niingie mwaka mpya na dhambi Click to expand... [emoji6] [emoji6]
Kajolijo said: Mtu aliepoteza pochi hii tafadhali ntafute, sitaki usherekee sikukuu hii vibaya,nami nimeona si vema niingie mwaka mpya na dhambi Click to expand... [emoji6] [emoji6]
dafity JF-Expert Member Joined Aug 16, 2008 Posts 1,881 Reaction score 2,091 Dec 31, 2016 #10 Kaidondosha mwaka juzi. Siku hizi debit/credit card zimejaa kwanini utembee matako yametuna kwa wallet?
Kaidondosha mwaka juzi. Siku hizi debit/credit card zimejaa kwanini utembee matako yametuna kwa wallet?