Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
In fact, God Blessed the Women!!
Amen!!
In fact, God Blessed the Women!!
Vipi ikikutokea leoHurumaa. ..
Vipi ikikutokea leo
Nakutakia heri tu bibie .....huoni kama ni jambo jema na la keleta furahaHunitakii mema wewee... utakuwa umenichoka looh.
Nakutakia heri tu bibie .....huoni kama ni jambo jema na la keleta furaha
Unafaham ushuhuda wa Sarah mke wa Abraham kwenye bibleLitakuwa jambo jema zaidi ntakapo sahili mtoto wa aidha mzazi wake alifariki wakati anatakiwa na ndugu hawakujitokeza. Aidha wale wanaozaliwa na kutupwa na mama zao au wale ambao wazazi wao wamejaliwa uzao ila uwezo wa kuwatunza hawana.
Hapo ntachukia hata wawili niwatunze na kuwalea tangu wakiwa wadogo, natumai na baraka za maulana zitanishukia. Ila ukiniambia niende leba sa hizi looh ntajua umetumwa na zraili hehehehe.
Kwani wee Bibi una mtotoHurumaa. ..
Unafaham ushuhuda wa Sarah mke wa Abraham kwenye bible
Kwani wee Bibi una mtoto
Baki hivyohivyoSinaa
Hebu tumuulize bibi kasie aje atufafanulieMenopause ina range 45 yrs - 55 yrs, hapo kuna shida au hormanal imbalance/ hormanal abnormalities!!!
Kwa wasio amini katika miujiza.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji134] [emoji134] View attachment 726042