Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]

Umeongea point, maana awamu ya kwanza alifanikiwa kuonyesha mechi za stars live, awamu ya pili anaweza hata kutupatia ving'amuzi ili na sisi wa huku koromije tuone mechi za stars "live"
 
Ally Mayai Tembele for TFF Presidency. Mwambieni Malinzi wenu hali halisi kuwa watu wanataka mabadiliko
 
Sina uhakika na Malinzi lakini Ali Mayai hapana! Yatakuwa Yale ya kuruka mkojo ukakanyaga mavi! Ni kweli tunahitaji walio cheza mpira kuongoza mpira lakini si bora mchezaji! Wako wapi akina Mwalusako? Magadula? Mohammed Babeshi Engr? Tunataka walioupiga lakini wasomi! Sio Mayai wala Julio! Hatutaki wanaojua kusoma na kuandika kama Akilimali au Kasheku! Naomba msamaha kwa niliowakosea wote!
 
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Mali ya nzi amekupa shi ngap umufanyie kampeni
 
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti

Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona

Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI

Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff

Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia

MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk

Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Naona wahaya katka ubora wenu mnapigian kampen mshafnya tifutifua ndo sehem ya kabila lenu mshaweka makzi hapo nyambafuu
 
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti

Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona

Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI

Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff

Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia

MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk

Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Tunataka mpira wetu malinzi turudishie mpira wetu basi
 
Jamaa ww hata form 2 hujafika hujui kuandika wala kujenga hoja yaan kiufupi ww ni zero brain
 
Back
Top Bottom