Aliemsaga mtoto wake wa damu

mimi naamini huyo mama kuna kitu kilimkuta mpaka akafanya hivyo,inavyosemekana alipata mimba akiwa form one,na aliempa mimba hajulikani ni nani.pengine adhabu yake akaona bora alipizie kwa huyo mtoto.pengine alibakwa,hatuelewi.mtu na akili zake timamu hawezi kufanya hivyo namuonea huruma huyo mtoto,kwani ni vizuri apewe ushauri na wana saikolojia.kwani na yeye akikua anaweza akafanya kama alivyofanyiwa na mama yake.is so sad kwa kweli
 
Ni stimu tu zilimpelekea afanye hivyo
 
bado sio sababu ya kuharibu mtoto, kama mama alikuwa molested utoto alitakiwa amprotect mwanae na masahibu hayo.

Uko sawa kabisa. That should never be an excuse. Nilikuwa na note tu kwamba baadhi ya hawa molesters huwa wana historia hiyo.
 
hii mbaya sana namuombea huyo mtoto aweze kutibiwa na kusahau..............ila atakua saikolojikali amemuathiri mtoto wawatu mana sina uhakika kama ni wake............uzae kwa uchungu then umfanye ivo mwanao jamani haingii akilini....
 
Huyu anastahili adhabu kamili na kali ili liwefundisho kwa wanawake wote wenye tabia kama yake

Mh sasa ngoma hii upande huu tumwamini nani na watoto wetu wa kike?
 
ulivyoitete hiyo vibaya sana nikadhani ni habari unazozijua kwa undani, kumbe na wewe ni mpokea habari kama mimi.

Vibaya sana ina range from kuwa na vidonda, non stpo bleeding, usaha, kutoweza kuzuia haja kubwa na ndogo, au hata kuondolewa marinda among others.
si lazima awe mtoto wangu ndio nijue details, besides, mimi ni mdau wa sekta na ni msukununu kuliko unavyojua

BTW sijui kama "ameharibiwa" na "vibaya sana" vinafanana... sorry, you may also need to review ujue wapi nimesema nini maana nahisi kama unahamisha maneno kimtindo
 
Review: nimeuliza kwa nia nzuri nani kasema kaharibiwa vibaya na vibaya hiyo ina maanisha nini - ulinijibu kuwa daktari na ukasema natakiwa nijue vibaya inaanzia wapi.

Nilijibu kuwa vibaya ina range kama nilivyotaja. Sijakutilia neno ila nadhani ulijibu kipengele visivyo anyway. Hakuna anayetaja mtoto kaharibiwa vibaya kiasi gani.

Kama wewe mdau na msukununu wa ukweli, by time nimeuliza ungekuwa unajibu kamili.
 
Amesha mwalibia mtoto future yake anaweza kuwa kahaba au changu akawa anagawa kote kote
 
Review: nimeuliza kwa nia nzuri nani kasema kaharibiwa vibaya na vibaya hiyo ina maanisha nini - ulinijibu kuwa daktari na ukasema natakiwa nijue vibaya inaanzia wapi.

Nilijibu kuwa vibaya ina range kama nilivyotaja. Sijakutilia neno ila nadhani ulijibu kipengele visivyo anyway. Hakuna anayetaja mtoto kaharibiwa vibaya kiasi gani.

Kama wewe mdau na msukununu wa ukweli, by time nimeuliza ungekuwa unajibu kamili.
halafu wewe...:gossip: sukununu siku zote huwa hatoi full, :gossip:

sasa umbeya ukiisha ataongea nini??:wacko::A S confused:
 
We mama :shetani: we!

Nadhani wakati umefika wa kuidhinisha kifo hadharani (kama huyu mama, tunakusanyika pale Uwanja wa taifa, afu tunamchapa hadi tunahakikisha amebaki nyama). :painkiller:
 
Very sad, at the age 25 tayari ameshaharibu maisha yake na ya mwanae!
 
nimeishiwa pumzi ya ku-comment sambamba na maelezo ya thread.hii hatari....
 
hizo ni frustration tu za maisha baada ya kuona huyo mtoto ndio alieharibu future yake kimasomo
huyo mtoto akiendelea kukaa nae ipo siku atamuua kabisa.
ni saikolojikooooo efffectttttt.
 
Back
Top Bottom