we nae kwa hiyo uislaam ndo din ya kweli... pyeeeeeDini ya kweli haifanyiwi marekebisho kama katiba ya nchi.
Asante Allah (s.w) kwa kuniumba muislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani haujui au?we nae kwa hiyo uislaam ndo din ya kweli... pyeeeee
PoleeeeeeUkisikia chizi karogwa tena basi ni huyu aloleta mada hii, kwa muumini wa dini ya Kiislam na mwenye kuifuata anashikamana na Quran tukufu au hadith za MTUME Muhammad S. A.W kwa kufuata misingi hiyo miwili tumebainishiwa kuwa hakuna ndoa baina na Muislam na asie Muislam, kwa taarifa yako Quran ndio kitabu pekee ambacho kipo katika asili yake tofauti na vitabu vingine. Kwa hiyo huo upumbavu wako hauna nafasi katika Uislam, na hakuna mtu yoyote atakaeweza kubadilsha hata herufi moja katika Qurana ili kuhalakisha ndoa kati ya Muislam na asiyekuwa muislam
Sent using Jamii Forums mobile app