Alieleta udini kwenye ndoa alaumiwe

Alieleta udini kwenye ndoa alaumiwe

Lol....

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
alaaniwe...hili lilinikuta aisee...mtoto mzuuuri wa kiislam ila kwa vile mimi ni mkristo mambo yakawa magumu kweli
Duu pole mkuu ila inawezekana wewe ukajitoa kumfata yeye kwenye dini yake mambo yakawa poa usiudhulumu moyo wako
 
UMEONGEA POINT MDAU. MI MWENYEWE NILIPATA MTOTO MTAMU BALAA, MTOTO KACHANGANYA USOMALI, UARABU NA UBBM (BONGO BAHATI MBAYA) LAKINI IKAWA KIKWAZO, ILA MTOTO ALINIPENDA HATARI. MTOTO WIKI NZIMA ALIGOMA KULA BAADA YA WAZAZ WAKE KUMTISHA KUWA WATAMTENGA AKIBADILI DINI, BAADAYE WAKAANZA KUNITISHA MIMI NIKASURENDER, AMEOLEWA NA WA DINI YAKE MWAKA HUU ILA HAJAMPENDA.. ILA MWANAUME NDO KAMZIMIKIA.. BINTI BADO ANASEMA ANANIPENDA NA NIKITAKA MAPENZ MUDA WOWOTE NIMWAMBIE ATANIPA.. MARA KADHAA ANANITAKA TUKUTANE NIMPE FARAJA ILA NAMKWEPA. PIA ALINIOMBA NIMWEKE MIMBA ANIENZ LAKNI NAMHOFIA MUUMBA. NAJITAHD KUJITENGA NAYE ILA KIUKWELI WAZAZ WENGNE WANAZNGUA, MANA DOGO ANASEMA 'HANA FURAHA YA NDOA'
 
Sipendi kuipa DINI kipaumbele katika maisha yangu,naamini Mungu ni mmoja shida ya nn tubaguane.
Wazazi wangu hawapendi kuoa mtu DINI tofauti na yangu, lakin kwangu mm watoto wangu option itakua juu yao.
Akitata aoe/kuolewa na dini tofauti lkn kila mmoja kutaki na DINI yake.Sipendi kubadili DINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa kipaumbele sio dini basi usingeona tabu kubadili dini maana mungu ndiyo huyohuyo mmoja tu.
 
Ukisikia chizi karogwa tena basi ni huyu aloleta mada hii, kwa muumini wa dini ya Kiislam na mwenye kuifuata anashikamana na Quran tukufu au hadith za MTUME Muhammad S. A.W kwa kufuata misingi hiyo miwili tumebainishiwa kuwa hakuna ndoa baina na Muislam na asie Muislam, kwa taarifa yako Quran ndio kitabu pekee ambacho kipo katika asili yake tofauti na vitabu vingine. Kwa hiyo huo upumbavu wako hauna nafasi katika Uislam, na hakuna mtu yoyote atakaeweza kubadilsha hata herufi moja katika Qurana ili kuhalakisha ndoa kati ya Muislam na asiyekuwa muislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningemjua huo aliyeanzisha udini kwenye suala zima la kuoa ningemchapa Kelebu mbili za nguvu
 
UMEONGEA POINT MDAU. MI MWENYEWE NILIPATA MTOTO MTAMU BALAA, MTOTO KACHANGANYA USOMALI, UARABU NA UBBM (BONGO BAHATI MBAYA) LAKINI IKAWA KIKWAZO, ILA MTOTO ALINIPENDA HATARI. MTOTO WIKI NZIMA ALIGOMA KULA BAADA YA WAZAZ WAKE KUMTISHA KUWA WATAMTENGA AKIBADILI DINI, BAADAYE WAKAANZA KUNITISHA MIMI NIKASURENDER, AMEOLEWA NA WA DINI YAKE MWAKA HUU ILA HAJAMPENDA.. ILA MWANAUME NDO KAMZIMIKIA.. BINTI BADO ANASEMA ANANIPENDA NA NIKITAKA MAPENZ MUDA WOWOTE NIMWAMBIE ATANIPA.. MARA KADHAA ANANITAKA TUKUTANE NIMPE FARAJA ILA NAMKWEPA. PIA ALINIOMBA NIMWEKE MIMBA ANIENZ LAKNI NAMHOFIA MUUMBA. NAJITAHD KUJITENGA NAYE ILA KIUKWELI WAZAZ WENGNE WANAZNGUA, MANA DOGO ANASEMA 'HANA FURAHA YA NDOA'
Sasa wewe si ungebadili tu ili kuweka mambo sawa au na wewe unaamini kwenye dini yako?
 
Daah muda mwingine kweli unakuta kuna mtoto mkali umemzimikia ila kubadili dini inakuwa ngumu kumeza
Baada ya kusoma maandishi yako kichwani kwangu ikapita picha ya shombe shombe mmoja mithili ya muhabeshi msomali mmanga....

Ila sasa ndio dini tofauti unaishia kula kwa macho tu...khaaaa!!!
 
mkuu kubadili dini inakuwa ngumu ee

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Habari zenu wapendwa,

Jamani mimi ninajambo halinifurahishi kabisa sijui kama na wewe umewahi kughafilika juu ya hili swala.

Kumekua na tabia/Tamaduni ya unapotaka kuoa kama mwanamke ni muislaam na wewe mume ni mkristo kuna kua na pingamizi kubwa sana kutoka kwa wazazi, au mume muislaam na mke ni mkristo basi wazazi pia wanapinga sana.

Hivi kwanini viongozi wa dini wasiingilie kati swala hili wabadili tu huo utaratibu ingawa wao ndo wanaoongoza kupinga, naomba waache mwanamke aamue mwenyewe na sio kupangiana udini.

Je hawaoni kua wananyima haki ya msingi kabisa kwa mabinti zao?
Je hawajui wanatukosesha wanawake wazuri/chaguo kwasisi wanaume tunaoitaji kuoa?

Kama kuna Mapadri na Mashekhe humu JF hebu tafakarini hili

Hoja haina kichwa wala miguu kama wewe ni mkristo huko kwenye ukiristo wako wapo mabinti wazuri na bomba kuliko huyo ulio muwona ktk uislam, na kama ni mwislam pia huko ktk uislam wako mabinti wazuri na bomba kuliko huyo uliomuona ktk ukristo
Tatizo lako ni UFARA WAKOTOJUA KUTONGOZA, kungojea dodo iloanguka chini ya mti wakati juu ya mti zipo dodo safiiiiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMEONGEA POINT MDAU. MI MWENYEWE NILIPATA MTOTO MTAMU BALAA, MTOTO KACHANGANYA USOMALI, UARABU NA UBBM (BONGO BAHATI MBAYA) LAKINI IKAWA KIKWAZO, ILA MTOTO ALINIPENDA HATARI. MTOTO WIKI NZIMA ALIGOMA KULA BAADA YA WAZAZ WAKE KUMTISHA KUWA WATAMTENGA AKIBADILI DINI, BAADAYE WAKAANZA KUNITISHA MIMI NIKASURENDER, AMEOLEWA NA WA DINI YAKE MWAKA HUU ILA HAJAMPENDA.. ILA MWANAUME NDO KAMZIMIKIA.. BINTI BADO ANASEMA ANANIPENDA NA NIKITAKA MAPENZ MUDA WOWOTE NIMWAMBIE ATANIPA.. MARA KADHAA ANANITAKA TUKUTANE NIMPE FARAJA ILA NAMKWEPA. PIA ALINIOMBA NIMWEKE MIMBA ANIENZ LAKNI NAMHOFIA MUUMBA. NAJITAHD KUJITENGA NAYE ILA KIUKWELI WAZAZ WENGNE WANAZNGUA, MANA DOGO ANASEMA 'HANA FURAHA YA NDOA'
Aisee ktk swala la dini hata mm imenikuta kama ww..nikianza fikiria kuhusu dini na mahusiano huwa nawaza mbali sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia chizi karogwa tena basi ni huyu aloleta mada hii, kwa muumini wa dini ya Kiislam na mwenye kuifuata anashikamana na Quran tukufu au hadith za MTUME Muhammad S. A.W kwa kufuata misingi hiyo miwili tumebainishiwa kuwa hakuna ndoa baina na Muislam na asie Muislam, kwa taarifa yako Quran ndio kitabu pekee ambacho kipo katika asili yake tofauti na vitabu vingine. Kwa hiyo huo upumbavu wako hauna nafasi katika Uislam, na hakuna mtu yoyote atakaeweza kubadilsha hata herufi moja katika Qurana ili kuhalakisha ndoa kati ya Muislam na asiyekuwa muislam

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huwa unasoma quran basi zidi kumuomba allah akupe busara uweze kutoa kilicho ktk bongo yako ktk lugha nzuri..lengo haikuwa kama unavyofikiria na kusema lkn ni kuelimishana tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom