Aliekukuta katika hali hii bado mko nae?

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,445
Reaction score
28,778
f152901ef1fe914243b1a7dc4a9b1fd5.jpg

"Pakiwa ndipo unapolala humo humo unatunzia na vyombo vyako basi hicho sio chumba hio ni stoo" alisema kijana mmoja graduate huku akiwa ameegemesha miguu miwili kwenye sofa la shemeji yake
 
Jombi kumbe ushatoka kifungoni ? inabidi upewe tuzo ya bans maana unalambwa sana , na nawapongeza mods kwa kazi nzuri .......
Sasa kama wewe mwenyewe ndio mod kwanini nisipigwe tofali😂😂, eti totoz ya hamas, kama una hasira tena piga ya mwaka 😁😁😁😁
 
Sijaanza mapambano na wewe na sitaki maana naona haina maana sababu wewe ni mtu ambaye hauna busara na adabu kabisa humu jukwaani kwa kushusha matusi makubwa hovyo ndio maana nakuepuka maana siwezi Kubattle na mtu wa matusi ni kupoteza muda na kujishushia heshima.

Mimi vita yangu ilikuwa dhidi ya Maghayo na genge lake ( Ghayos Gang ) sasa Maghayo tushampoteza hauto muona tena jukwaani akileta uchizi humu , kijana wake the stress Challengerr kama permanent bana sasa imebaki ID ya The Mongolian Savage ambaye sasa anaishi kama digidigi kw atahadhari kubwa maana "GunMan " nipo kazini na ukiacha kumchongea na kumuingiza katika 18 za ban mpaka zikafwekwa ID zote kwa wakati mmoja , ameshaexperience Umafia wangu like Vincenzo Cassano mpaka akawa analialia .
 
😂😂😂

Naenjoy sana ignorance yako lakini zaidi nachopenda ni arrogance yako, ni tamu sana kama uchi wa pisi zangu.

Kihususani sina na battle wewe, ila ninakuchezea chezea kama hao madenti wangu, ndio maana nasema naenjoy machchari yako, ni matamu sana kama ulivyo mtamu kwa hamas bwana zako

Aya muite mod anipige ban😂😂😂
 
Back
Top Bottom