Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 373
- 467
Ulitaka afe?.Hata kwenye maigizo watu hawafi sembuse movie.Sijaiona kama nzuri saaana uongo umezidi mno cuz mtu huezi kua unajeruhiwa multiple times ila bdo unasimama kupigana halafu dk5 mbele nimzima kabisa![]()
Binafsi nimeiona na niliipenda sanaAtupe mrejesho alieiona je ni nzuri au kama zilizopita?