Alidai nimeoa bibi kizee, sasa anaomba msaada

Kibiolojia hawezi Tena kuzaa...labda kwa muujiza kama Sarah wa simulizi za biblia ambaye alizaa akiwa Na umri wa miaka 90
 
Kwani aliongopa huyo si bibi kizee au wewe akili yako inakutuma ni kabinti kadogo??
 
ila hata ivo na wewe umeoa mzee khaaaaa sa 55 manake ukiamka asbh si unamuamkia
 


Ningemsaidia bila hata kukumbushia huo ugomvi
 
Mkuu neno linasema ktk warumi 12:20-21.(Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
21 Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.) Ubarikiwe.
 
mkuu usimpe, atakudhalilisha tena...mwenyewe ushapenda kula rahaaa
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…