The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,577
- 46,984
Lakini viongozi wa dini wakisema pigeni kura ya ndiyo au hapana au msiende kupiga kura hapo unajua sasa viongozi wa dini walishaacha dini wameanza kuvuta bangi.Sababu wanajipambanua kiitikadi.HILI TAMKO LA MAASKOFU LIKO CHINMI YA KIWANGO NA NI AIBU KULIITA TAMKO LA MAASKOFU LOOOOOO!!!! AIBU TUPU UTAFIKIRI HATA KUSOMA HAWAKUSOMA
Hiyo aibu ni zaidi ya ile iliyotumika kuhakikisha katiba inapita bungeni? Nafikiri ingekua bora zaidi tukajadili ni kwa nini maaskofu walifikia maamuzi hayo. Hivi kama mimi nnataka pepsi, wewe unaniletea fanta nikikataa utaniona mbaya?