Baba jk wanao tunaanza kukumbuka jamanı
Mnamkumbuka nyie ccm maslahi wachumia tumbo sie wenzenu ni kazi tu hakuna ujinga wa kila siku kusafiri nchi za nje kutembeza bakuri na kubembea huku watoto wetu wanakalia matofali shuleni ; na wakina mama wanajifungulia barabarani!!!