Alichonifanyia ni sahihi?

wiki 2 au 3 hivi....unahudumia kweli hayo ni matunda!
 

Mkuu wasichana wengi wanapenda sana recognition.... so jaribu kuonyesha uko serious na yeye kwa kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zako... au mwambie akupeleke kwao wakakufahamu... kweli ataona hapo wewe haujamfata kwa kumchezea..... ila fanya hivi kama kweli unampenda, kama unaona haumpendi mwache aendelee na picha zake za XXX
 
Yaani unajitoa muda wako na hela lengo likiwa kumla, hlf muda wote huo hujamla tu..... Aiseeee kazi kweli kweli
 
kama ni kweli, binti ana mixtured feelings.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni malnutrition kwa mtoto sasa wao wanaihusisha na ufanyaji ngono wa mama
Kinachotokea mama anaacha kunyonyesha baada ya kuliwa kuwa maziwa yamechafuka as a result inaishia mtoto kupata malnutrition.

Umeiona hii changamoto kaka asakuta same !!!!!
 
Last edited by a moderator:

ivi unajua siku hizi mabinti wa mjini huset mitego wanaume kuliwa viboga.!!

Huyu ataliwa, au kulipishwa fedha tegoni.

MJINI..!!
 
Mbona umejitwika upofu na akili umeiweka tope kiasi kwamba huwezi kufikiria hata kidogo huyo dada anatatizo katika hali ya kawaida huwezi kumchukua mwanao mwenye umri wa miezi minne au hata sita ukamtelekezea mwanaume binafsi namuona huyo mwnamke kama katili na wewe hata hushtuki unaoneka kuwa comfortable na kila hali .
Anakutumia huyo amka usingizini bwana ifike mahali ufikirie kwa kichwa ya juu .
 
Hajafanya mapenzi miezi saba kwasababu ya uzazi na sio sababu nyingine kwanza anaonekana mcharuko mwanamke mwenye staha na akili kama ulimvyomsifia hawezi kutelekeza mtoto kwa mwanaume muda huo anafanya nini ? ana soma ? kama hasomi kwanini asikae na mtoto wake
Kampeleka mtoto kwa mwanaume afanye uma...laya vizuri na kashapata kichwa wewe ndiye kichwa unaliwa tuu na hujielewi. Kama kashindwa kumpenda na kumthamini mwanae aliye kaa tumboni miezi yote tisa na uchungu ameupata katika kujifungua atakuthamini wewe hebu amka@leipzig
 
Ney wa Mitego aliwahi kusema, "Kudadadeki mapenzi hayashauriki...Kama kweli we unampenda, mpende tu maradufu..."

Haswa kaka, kama waliopo mapenzini watalifanya penzi liwe na ustawi basi ndio utakuwa mwarobaini wa kadhia zozote za kimapenzi...
 

nilikaa two years without having sex nilikua nawachukulia men kawaida sana so inawezekana kweli alitendwa hata ile hamu na wanaume han ndo maana kaamua kulea mwanawe km unampenda mvumilie
 

Samaahni, ndio nadharia gani hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…