kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,150
- 16,139
- Thread starter
-
- #61
Anzisha nchi ili huyo umuitae kichaa asiwe raisi wako!MAZWAZWA kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Chama cha mumiani miaka 57 madarakani lakini hakuna cha kujivunia na wewe ZWAZWA unaona chaguo ni kichaa tu!!
Kumpenda kwako hakumuondolei ukichaa wakeMkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe chizi .... unamlazimisha mtu mfanane utashi wa akili ... yaani kitu ukishakipenda wewe basi kinastahiki kupendwa na watu wote !!? Huo ni ubinafsi mkubwa unaonyesha kuwa akili yako inautapia mlo wakufikiri"..... acha kutisha tisha watu ..kichaa weeeMkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi huyo jamaa " ukiwa na ndugu kama huyo ....hesabu kuwa ni hasaraAcha vitisho,kila mtu ana chaguo lake na shimo gani hilo alilokutoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akina nani walimdumbukiza kwenye hilo shimo hapo awali?Acha vitisho,kila mtu ana chaguo lake na shimo gani hilo alilokutoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya Asad na magufuli unasimama na nani?Kila zama na kitabu chake.
Mkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna lipi kati ya Assad na Magufuli hata uniulize swali hilo?A
Kati ya Asad na magufuli unasimama na nani?
Kwa Leo nakaa kimya kuhusu hoja ya Kipara , lakini niongelee hii hali inayoendelea nchini ya watu wa CCM kufurahia kuua. Sijui mnajisikiake mnapoona wenzenu wakiteseka kwa maumivu mnayowasababishia nyie. Hivi binadamu mwenzio bila kujali anaamini nini tofauti na wewe ni vipi ufurahie kifo chake? Hii roho ya kutamani kuua kila anayetofautiana nanyi mnapewa na Nani? Mbona kila mwisho wa wiki mnajazana misikitini na makanisani, ni Mungu yupi mnayemwomba anayewajaza kisasi na Mauaji?Mkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekutoa shimoni wewe na familiar yakoMkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha nchi ili huyo umuitae kichaa asiwe raisi wako!
OK! magufuli kaiba tril1.5, assad anasema ripoti iko bungeni, bunge liko dhaifu kumwajibisha magu. au hujui bunge linaweza mwajibisha raisi??Kwani kuna lipi kati ya Assad na Magufuli hata uniulize swali hilo?
Mleta mada nae hakutegemea kama kuna watu watatoa komenti kama hii.badala yake eti alitamani kucheza na mke wa wazir mkuu
Askofu Kakobe.Samahani, uwepo wa nani?