Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

MAZWAZWA kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Chama cha mumiani miaka 57 madarakani lakini hakuna cha kujivunia na wewe ZWAZWA unaona chaguo ni kichaa tu!!


Anzisha nchi ili huyo umuitae kichaa asiwe raisi wako!
 
Mkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe chizi .... unamlazimisha mtu mfanane utashi wa akili ... yaani kitu ukishakipenda wewe basi kinastahiki kupendwa na watu wote !!? Huo ni ubinafsi mkubwa unaonyesha kuwa akili yako inautapia mlo wakufikiri"..... acha kutisha tisha watu ..kichaa weee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[Hii chakula haifai hata kulishia shwaini,ila naona binadamu baadhi wamekula...................QUOTE="Elly official, post: 29985683, member: 507292"]Mkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu
 
Mkuu watch your step, tunakuangalia ujue kama humpendi wewe sisi tunampenda na ukichaa wake huohuo. Sabab ndo katutoa shimoni sasa tunaelekea mahali salama. Ningekuwa jiran na wewe ningekuchoma hata kisu kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Leo nakaa kimya kuhusu hoja ya Kipara , lakini niongelee hii hali inayoendelea nchini ya watu wa CCM kufurahia kuua. Sijui mnajisikiake mnapoona wenzenu wakiteseka kwa maumivu mnayowasababishia nyie. Hivi binadamu mwenzio bila kujali anaamini nini tofauti na wewe ni vipi ufurahie kifo chake? Hii roho ya kutamani kuua kila anayetofautiana nanyi mnapewa na Nani? Mbona kila mwisho wa wiki mnajazana misikitini na makanisani, ni Mungu yupi mnayemwomba anayewajaza kisasi na Mauaji?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom