Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
1,871
Reaction score
1,241
Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.

He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.

“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said

My take: Kuna tatizo na huyu somewhere. Haoni la kyrekebisha kwa hiyo aliyemtetea

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
 
Kanisa la dar es salaam linakimbiwa na waumini kwasababu ya huyu na bado huyo papa hajastuka tu huko Vatican alipo! Hebu mtastaafisheni huyu babu mtuletee yule wa biharamulo mwenye uraia tata!
 
Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.

He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.

“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said

My take: Kuna tatizo na huyu somewhere. Haoni la kyrekebisha kwa hiyo aliyemtetea

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
Tatizo lipo kwako
 
Aliemt
chadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?
A cha unaaa aliemtukana ninaniiii kakwambia ni CDM?
 
Wenye kiongozi wao wamvumilie amebakiza miezi michache, mwakani anastaafu bila shaka amechoka. Umri wake kwa sasa sio wa kumfanya ajihusishe na migogoro na watu.
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
 
chadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?
Acha bange, wapi Wamesema Chadema? Acha mihemko
 
Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.

He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.

“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said

My take: Kuna tatizo na huyu somewhere. Haoni la kyrekebisha kwa hiyo aliyemtetea

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
huyu nae Hata Misa yake anayosalisha siwezi hata kusalishwa nae hana credibility hiyo hata mia kutoa sadaka kwake sigusi ivi yale maharage yaliishia wapi kwani?
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.

hili mbona linajulikana, wana chuki sana na uislam
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
upadre wako ni wa Pengo au ulikuwa unatafuta mlango tu wa kutokea
 
Back
Top Bottom