Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,016
- 1,732
Baki na umbumbumbu wewe,watanzania wanelewa majizi na mauaji yote,wanawaangalia na kuonesha kuwa wana wa support ili muendelee kibimba kichwa,wanacheka mdomoni lkn moyoni ni siri yao, huwezi vumilia serikali yenye kuleta njaa kama hiii,kazi hamna wawekezaji wanaondoka alafu mwenye akili eti akae na kushangilia anaeshangilia ni mabashite tu yaliyobebwa.Hapa kazi hatutaki siasa tunataka ugali.mlizoea zama zimebadilika..hampati kick tena watanzania wanajielewa sana