Alichokisema Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa baada ya kusikia anatafutwa na Jeshi la Polisi.

Hapa kazi hatutaki siasa tunataka ugali.mlizoea zama zimebadilika..hampati kick tena watanzania wanajielewa sana
Baki na umbumbumbu wewe,watanzania wanelewa majizi na mauaji yote,wanawaangalia na kuonesha kuwa wana wa support ili muendelee kibimba kichwa,wanacheka mdomoni lkn moyoni ni siri yao, huwezi vumilia serikali yenye kuleta njaa kama hiii,kazi hamna wawekezaji wanaondoka alafu mwenye akili eti akae na kushangilia anaeshangilia ni mabashite tu yaliyobebwa.
 
umesoma mpaka mwisho umekimbilia kuandika pumba? "mimi Niko Nairobi, nitaitika wito wa polisi ukiletwa rasmi, sihitaji kuviziwa +255754360996 you can just call me or Whasup me !
Peter Msigwa.
Aende faster anapoteza muda. Mambo mengine simple tu.
 
Alisema anawajua watu wanaopanga kumuua yeye Lema Mbowe na Mdee so lazima aitwe akatoe maelezo.
 
Jasiri hajifichi kwa mgogo wa kusubiri uitwe. Ni waoga pekee wanaosubisubiri .
 
Baki na umbumbumbu wewe,watanzania wanelewa majizi na mauaji yote,wanawaangalia na kuonesha kuwa wana wa support ili muendelee kibimba kichwa,wanacheka mdomoni lkn moyoni ni siri yao, huwezi vumilia serikali yenye kuleta njaa kama hiii,kazi hamna wawekezaji wanaondoka alafu mwenye akili eti akae na kushangilia anaeshangilia ni mabashite tu yaliyobebwa.
Bashite anakujaje hapa?
 
Wabongo ifike mahala tupige mstari. .
Hata maombi ni shida Khaaaaa! ??
 
Kuna Mtanzania anaemuobea bwana yule anaetaka kuombewa
Hakuna mahusiano kati ya maombi mipango ya Mungu. Mungu habadilishwi, anayebadili ni Mungu mwenyewe. Ikitokea watu elfu wakapiga magoti wakaomba. Je Mungu ataacha kusikiliza mpango wake kwa watu wake? Yuda alijinyonga ili mpango wa Mungu ubadilike kwa watu wake Je mpango wa Mungu ulibadilika?
 
Yaani wamekula nchi imebaki makombo. Sasa wanaposhindwa kula makombo wanaamua kula na watu wanaojielewa. Atakayefuata atauza nyasa malawi, victoria kenya na uganda,bahari kwa wa china nk.
 
Badala ya Jeshi la Polisi kuwasaka waliompiga Risasi Lissu eti linawasaka watu wanaovaa T-shirt iliyoandikwa "Pray For Tundu Lissu" MAAJABU.
Hivi hiyo mijitu iliyompiga risasi haiwezi nayo ikavaa hizo T-shirts na kujichanganya kwenye hayo maombi, tena frontline, na kuyafanya kuwa kichaka cha kujificha yasiweze kukamatwa? I am just thinking aloud. Kwani hiyo feki plate namba haiwezi kuwa ya lori la mchungaji? Tuwaache polisi wafanye kazi yao. Mchungaji atii amri bila shuruti. Siasa tuweke kando hadi pale Lissu atakapopona kabisa. Michango ya pesa iendelee ila itumike kulipia matibabu tu na siyo kuwaweka akina mchungaji Nairobi.
 
Kuna Tamthiliya niliisoma ya Kivuli Kinaishi .mhusika mkuu bi..Kirembwe
Ndugu kaisome vizuri afu urudishe feedback huku uone nini alichofanya na mhusika Mtolewa alijipambanua .Naishia hapa kwa leo
 
Ni shida Sana kuwa mtu muoga , kila kitu anataka kick , sasa si aende kwa haraka bila kujishaua
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom