Hata mimi aise...NCCR mageuzi na alama ya CHADEMA wapi na wapi?
By then CHADEMA ya akina Kasanga Tumbo na ofisi yao pale Magomeni, haikuwa hata mashuhuri...
Lakini niseme ukweli wangu. Kati ya Mrema na Marehemu Benjamin Mkapa, nitakuwa siitendei haki Tanzania kumchagua Mrema na kumwacha Mkapa. Kwa hiyo Mwalimu alikuwa sahihi.