Alichojibu Hammy B kwa AY

What this?


  • Total voters
    2
  • Poll closed .
Nimeipenda sana hii presentation ya H.B
A-Y anabidi awe makini sana kujua atokako na aendako,juzi juzi nimesoma kwenye mitandao kuwa anakwenda Souz kufanya video ya thamani ya 10,000/- $.Kama anaweza jufanya mambo haya anashindwaje kumlipa producer/rafiki yake kwa kazi aliyomfanyia !?.

Wasanii wengi wanapotea kwa kutojua na kuthamini kazi za watu waliochangia mafanikio yao.Tulishuhudia Mr. Nice alipoanza kuporomoka pindi alipoanza malumbano na producer wake Kameta.

A-Y akumbuke soon atapotea na atamwacha H.B anasonga mbele ,uzoefu unaonesha maproducer wanashine kwa muda mrefu zaidi ya wasanii.Hivyo ni vyema akajenga urafiki zaidi ya kujenga uadui.
 
duuuh HB ni another level...angekua mtu mwingine angefunguka luga gongana hapa hata tusingeambulia chochote...big up HB, kwako AY jibu tuhuma tafadhani...
 
Back
Top Bottom