Alichofanya huyu mama si ustaarabu

Alichofanya huyu mama si ustaarabu

Cute Cindy

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
211
Reaction score
598
Juzi kati nlikuwa nakula chipsi mayai mahali flan..sasa akaja mama mmoja mtu mzima hlf mnene ambae nlifahamiana nae miez 6 tu iliopita...kuna siku moja baada ya kufahamiana nae aliniomba elf 1 nikampa kiroho safi

Sasa juzi ananikuta nakula chips yai akaniomba nimnunulie bia nikakataa, akaingia kwenye banda LA muuza chips, bila kumuomba muuza chipsi akakuta vichipsi kidogo vilivyobakia maana chips kavu zilikuwa zimeisha, akaziweka kwenye upawa akaanza kula, heeeeee si akahamia kwenye sahani yangu ya chipsi yai, tena alikuwa anakata bonge LA kipande, nikaikwepesha sahani yangu nikamwambia hapana, akataka tena akate kipande kidogo zaidi nikaikwepesha sahani yangu nikamwambia hapana..hadi yule muuza chipsi akawa ananiangalia kwa mshangao..

Situation iliofuatia hapo ilikuwa very awkward, maana nlijisikia aibu, nlivomaliza tu kula, nkalipa na kusepa, watu wengine wanaleta aibu kwa kweli..kwa upande wangu nahisi nlifanya makosa kumnyima ila kwa wakati huo sikujisikia tu kumpa..
 
Siku hizi kumezuka wimbi la watu wazima ambao sio wastaarabu
 
Usawa kweli umekaba hivi vyuma viligezwe sasa tutanyiman had salamu
 
Hahaa acha tamaa, unaniuliza ivo ili uje pm au Mgugu
Nature yetu wanaume hua hatuna roho mbaya kwa wanawake.
Ila wanawake wenyewe kwa wenyewe hua hawahurumiani.
Sasa hilo jina la Cute kama sio mwanamke basi utakua na DNA ya kaka Boflo
 
Wanawake mna roho mbaya. Ingekuwa ni me kafanyiwa ivo isingekuwa ishu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom