Alichofanya huyu mama si ustaarabu

Alichofanya huyu mama si ustaarabu

Mkuu kwa vile mnafahamiana na ulishamsaidia kiroho safi hapo awali,hukupaswa kama mwanamme kukwepesha sahani ya chipsi yai mala mbili,
Chipsi yai 2000 unakwepesha na bado liko moyoni unakuja kufungua uzi hapa
Pole sana jitahidi uwe na pesa mkuu ,kero kama hizo unamaliza kimyakimya,na chenji unampa nauri
 
Siku hizi baadhi ya Wanaume hawataki kula Ugali na Matembele wanakula Chips na Mayai ya Kuku wa kisasa ambayo hayajaiva vizuri.
 
Kwani umeambiwa ni mwanaume??

Hujui mchawi wa mwaka huwa ni mwanamke mwenzake??
Mkuu kwa vile mnafahamiana na ulishamsaidia kiroho safi hapo awali,hukupaswa kama mwanamme kukwepesha sahani ya chipsi yai mala mbili,
Chipsi yai 2000 unakwepesha na bado liko moyoni unakuja kufungua uzi hapa
Pole sana jitahidi uwe na pesa mkuu ,kero kama hizo unamaliza kimyakimya,na chenji unampa nauri
 
Vidada vya kibongo vichoyo sana,kikiwa kinakula chips kinajipinda na meza hadi unakaonea huruma
 
Hueleweki... Jina la Kike Mwandiko wa Kiume...
 
Juzi kati nlikuwa nakula chipsi mayai mahali flan..sasa akaja mama mmoja mtu mzima hlf mnene ambae nlifahamiana nae miez 6 tu iliopita...kuna siku moja baada ya kufahamiana nae aliniomba elf 1 nikampa kiroho safi

Sasa juzi ananikuta nakula chips yai akaniomba nimnunulie bia nikakataa, akaingia kwenye banda LA muuza chips, bila kumuomba muuza chipsi akakuta vichipsi kidogo vilivyobakia maana chips kavu zilikuwa zimeisha, akaziweka kwenye upawa akaanza kula, heeeeee si akahamia kwenye sahani yangu ya chipsi yai, tena alikuwa anakata bonge LA kipande, nikaikwepesha sahani yangu nikamwambia hapana, akataka tena akate kipande kidogo zaidi nikaikwepesha sahani yangu nikamwambia hapana..hadi yule muuza chipsi akawa ananiangalia kwa mshangao..

Situation iliofuatia hapo ilikuwa very awkward, maana nlijisikia aibu, nlivomaliza tu kula, nkalipa na kusepa, watu wengine wanaleta aibu kwa kweli..kwa upande wangu nahisi nlifanya makosa kumnyima ila kwa wakati huo sikujisikia tu kumpa..
Usipende Kula Kula chips ovyo
 
Kwanza wanaume wa kaskazini sisi hatuli hiyo Chips. Mama akiomba chakula unamnunulia upande mzima wa mbuzi pale kwa mromboo halafu unampatia na laki ya nauli kiroho safi
aisee
 
Juzi kati nlikuwa nakula chipsi mayai mahali flan..sasa akaja mama mmoja mtu mzima hlf mnene ambae nlifahamiana nae miez 6 tu iliopita...kuna siku moja baada ya kufahamiana nae aliniomba elf 1 nikampa kiroho safi

Sasa juzi ananikuta nakula chips yai akaniomba nimnunulie bia nikakataa, akaingia kwenye banda LA muuza chips, bila kumuomba muuza chipsi akakuta vichipsi kidogo vilivyobakia maana chips kavu zilikuwa zimeisha, akaziweka kwenye upawa akaanza kula, heeeeee si akahamia kwenye sahani yangu ya chipsi yai, tena alikuwa anakata bonge LA kipande, nikaikwepesha sahani yangu nikamwambia hapana, akataka tena akate kipande kidogo zaidi nikaikwepesha sahani yangu nikamwambia hapana..hadi yule muuza chipsi akawa ananiangalia kwa mshangao..

Situation iliofuatia hapo ilikuwa very awkward, maana nlijisikia aibu, nlivomaliza tu kula, nkalipa na kusepa, watu wengine wanaleta aibu kwa kweli..kwa upande wangu nahisi nlifanya makosa kumnyima ila kwa wakati huo sikujisikia tu kumpa..
Hadithi isiyo na kichwa Wala miguu
 
Huu sasa ndiyo mwanzo wa vijana kuwagegeda wamama kama hao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom