Alichoandika Daudi. T. Balali kupitia x ( zamani twitter )

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,551
KAANDIKA: INFORMATION SMOKE SCREEN, hivyo

Baada ya kuingia CHATGPT...Nikapata tafakuri ya maneno hapo chini

Neno “information smoke screen” linamaanisha:

👉 “pazia la moshi la taarifa” au “upotoshaji wa taarifa” kwa Kiswahili.

Ni mbinu ya kuficha ukweli kwa kutoa taarifa nyingi za kupotosha au zisizo muhimu ili watu washindwe kutambua ukweli halisi.

🔹 Mfano wa matumizi:

Serikali ilitoa information smoke screen ili kuficha chanzo cha kashfa.

Kampuni ilitumia taarifa za uongo kama smoke screen kuficha matatizo yake ya kifedha.

📘 Kwa ufupi:

Information smoke screen = kutoa au kusambaza taarifa za kupotosha ili kuficha jambo la kweli au la siri.

Nini maoni yako??

NB: POST yake kule x ( ama twitter ) haina lisaa toka alipoweka

Na muhimu pia ule mkeka wake aliyowahi post miaka ya nyuma bado unapumua kwa asilimia kubwa

Nawasilisha
 
KAANDIKA: INFORMATION SMOKE SCREEN, hivyo

Baada ya kuingia CHATGPT...Nikapata tafakuri ya maneno hapo chini

Neno “information smoke screen” linamaanisha:

👉 “pazia la moshi la taarifa” au “upotoshaji wa taarifa” kwa Kiswahili.

Ni mbinu ya kuficha ukweli kwa kutoa taarifa nyingi za kupotosha au zisizo muhimu ili watu washindwe kutambua ukweli halisi.

🔹 Mfano wa matumizi:

Serikali ilitoa information smoke screen ili kuficha chanzo cha kashfa.

Kampuni ilitumia taarifa za uongo kama smoke screen kuficha matatizo yake ya kifedha.

📘 Kwa ufupi:

Nini maoni yako??

NB: POST yake kule x ( ama twitter ) haina lisaa toka alipoweka

Na muhimu pia ule mkeka wake aliyowahi post miaka ya nyuma bado unapumua kwa asilimia kubwa

Nawasilisha
Walewale tu mkuu, mpuuze
 
Ungeweka hiyo x na mkeka wa huo ungewasaidia wengi na huu uzi ungekuwa na tija zaidi.
 
Yeye pia part ya hiyo smoke screen.

Kwa nini aje Leo chap kwa haraka baada ya Captain.
 
Ni yule jamaa alihusika kwenye deal kubwa la upigaji BOT Kisha wakatengeneza script kwamba amekufa akiwa Ughaibuni baadae wajanja wakastukia mwamba yuko hai anakula maisha huko Ughaibuni
Ndio,,,, inavyosemekana lakini
 
Ni yule jamaa alihusika kwenye deal kubwa la upigaji BOT Kisha wakatengeneza script kwamba amekufa akiwa Ughaibuni baadae wajanja wakastukia mwamba yuko hai anakula maisha huko Ughaibuni
Rais akiwa nani?
Ndo maana hata leo tupo hapa ana kazi za kuficha uchafu kwanl kuweka Marais dhaifu!
 
Back
Top Bottom