Alichoandika Daudi. T. Balali kupitia x ( zamani twitter )

Alichoandika Daudi. T. Balali kupitia x ( zamani twitter )

Ni yule jamaa alihusika kwenye deal kubwa la upigaji BOT Kisha wakatengeneza script kwamba amekufa akiwa Ughaibuni baadae wajanja wakastukia mwamba yuko hai anakula maisha huko Ughaibuni
Dah qqmk nimemkumbuka. Dah jamaa alishanitokaga kichwani nishamzikaga. Asante mkuu.
 
Mimi maombi yangu kwa sasa ni Jeshi lichukue nchi tu. Lihitimishe huu utawala wa mafisadi ccm
Naungana na wewe kwenye mkombi
20250731_175120.jpg
 
Back
Top Bottom