Sure, nitaitumia tenaNatumia Airtel
Me nashukuru leo wameni refund aisee.. ila naona hizi virtual card ziko bomba sana.. sema sijajua maximum amount inayoweza kuhold ni kiasi gani.. na Airtel naona ni nzuri zaidi sababu haina zile mambo za kuhamisha pesa kwa ajili ya muamala tu.. just ukiweka pesa unaituma direct...Mabenki ya kibongo yanazingua sana maana frdha ikirudi hawaapprove moja kwa moja bali mpaka uwafuatilie na kuanza kukuomba vielelezo. Mimi nina refund ilifanywa tarehe 29 April lakini mpaka leo haijaonekana kwangu (ni kupitia Equity Bank), hao equity wakataka niwape ARN, lakini PayPal ambao ndio waliofanya refund wakasema hawana ARN zaidi ya proof ya email kuonesha kuwa edha imerudi, kwa hiyo nisikilizie tu benki yangu wanasemaje. Equity baada ya kuwapigia wanasema hela wanaiona ila kuapprove ndio mpaka ARN, kwa hiyo nimebaki nasikilizia tu.
Lakini kwa hizi virtual cards (mastercard za mpesa nk) mambo ni fasta, refund ikifanyika, ni siku 1 tu mzigo unaingia kwenye card, kwa hiyo ni vyema sana manunuzi ya mtandaoni kutumia hizi virtual cards kuondoa usumbufu wa kusikilizia hela kwa benki za Tanzania
Na nilikuwa na mpango wa kuhamia equity from CRDB aisee kwa hii mbanga yako imenistaajabishaMabenki ya kibongo yanazingua sana maana frdha ikirudi hawaapprove moja kwa moja bali mpaka uwafuatilie na kuanza kukuomba vielelezo. Mimi nina refund ilifanywa tarehe 29 April lakini mpaka leo haijaonekana kwangu (ni kupitia Equity Bank), hao equity wakataka niwape ARN, lakini PayPal ambao ndio waliofanya refund wakasema hawana ARN zaidi ya proof ya email kuonesha kuwa edha imerudi, kwa hiyo nisikilizie tu benki yangu wanasemaje. Equity baada ya kuwapigia wanasema hela wanaiona ila kuapprove ndio mpaka ARN, kwa hiyo nimebaki nasikilizia tu.
Lakini kwa hizi virtual cards (mastercard za mpesa nk) mambo ni fasta, refund ikifanyika, ni siku 1 tu mzigo unaingia kwenye card, kwa hiyo ni vyema sana manunuzi ya mtandaoni kutumia hizi virtual cards kuondoa usumbufu wa kusikilizia hela kwa benki za Tanzania
Hiyo visa card ni card ya kufeed pesa na ikiisha una top up na ni kadi kama zilivyo vocha za ttcl zamani kupiga simu kwenye vibanda vya simuHii ipoje mkuu? na miamala yake ina usalama kiasi gani?
Zinapatikana benki ipi?Ndiyo muwe mnatumia visa prepaid card mkiambiwa hamtaki kuelewa
VodaMtandao gani huo mkuu unatumia? nilijaribu airtel ikakubali mara 1 tu there after ikawa inazingua kiaina
NMB, bancabc bank nyingi tuZinapatikana benki ipi?
Utaipata tu pesa uwa haipotea. Sema bank zetu wafanyakazi hawajui mambo mengi hata hiyo ARN huenda hawajui ni nini.Wakuu Assalam Alaykum hope wazima kwa ujumla..
Naomba niende kwenye mada direct..
Mimi ni beginner wa kununua bidhaa online sasa tarehe 28 mwezi wa 3 nilifanya transaction Alibaba kutoka CRDB kiasi cha $306 na $34 kwa tofauti ya week 1 hivi kulipia vifaa vyangu flani hivi sasa jamaa hawakuwa na stock nilisubiri mpaka mwezi wa 5 lakini wapi sasa mwanzoni mwezi huu nikaona ni open dispute ili wani refund, nikafanya hivyo na dispute ikawa processed uzuri supplier akakubali malalamiko yangu na tarehe 5 mwezi huu pesa ikarudishwa kwenye account yangu... kimbembe hiyo pesa kuonekana.. Wao Alibaba wamenipa ARN number inayo trace pesa yangu na.wamenishauri incase nisipoiona niende bank, Bank (CRDB) nimeenda ila hawajui namna ya kuitrace, so nipo njia panda sijui pesa yangu nitairudisha vipi.. so kwa yeyote atakaye weza nisaidia nitashukuru sana maana naelekea kukata tamaa kwa kweli
Hapo chini naambatanisha hizo.ARN number incase for reference..
Ahsanteni sana
Picha zimegoma kuwa uploaded.. ila kwa msaada nipo tayari kuzituma kwa yeyote na namna yeyote ile