Aliaga anakwenda kuchukua pesa zake za mafao hakurudi!

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,150
16,139
Miezi minne iliyopita kuna mzee aliondoka hapa kijiji cha masakata wilayani tunduru kuelekea jijini dar es salaam 'jiji la maraha.

kwenda kushughulikia miamala ya pesa zake za mafao baada ya kuhudumu serikalini kwa kipindi kirefu,
Mzee aliondoka mwezi wa tano mwaka huu kwa kumuaga bi mkubwa kuwa atarejea baada ya wiki moja.

Pia kukiwa na shabaha ya kurudi na pesa za kuwekea sawa mashamba yao,
,kweli alifika mjini akakutana na mwanawe mkubwa wa kike aliyemsaidia kurahisisha shughuli zake za kibenki.

Huyo mwanawe naye kidogo alihamdulillah anahudumu kwenye wizara moja nyeti,
Baada ya kuchukua maokoto mzee aliweza kutupa kiasi cha pesa kwa bi mkubwa baada ya hapo,
mzee hakupatikana tena si kwa simu wala salamu .
Watu walihangaika vituo vya polisi na mahospitalini ,mochwari ,baa zote na vijiwe vya kahawa ,ikawa hakuna majibu.

Cha kushtusha ni jana mzee amepatikana huko mbezi kwenye nyumba moja amefungiwa na binti mmoja umri wa mwanawe ,akiwa hana hata wasiwasi na hajui kama watu wanahangaika wala kaacha bi mkubwa huko home.

Mzee amekamata remote hana hata mashaka bi mdogo amemmwagia udambwi dambwi juu ya meza,
baada ya kumkuta hapo palizuka vurumai kubwa nguo kuchanika ili kumtoa mzee pale nyumbani kwa bi mdogo.

Huku mzee akiapa kutaka kuwaachia radhi watoto wake na bi mdogo akitaka kuwafungulia mashtaka watoto wa mzee kumletea fujo nyumbani kwake!

Angalizo :wazee wasiachwe peke yao kwenda kufanya miamala wasije angukia kwenye mikono isiyo salama!
 
anamalizia Dec hii kiasi kidogo kilichobaki by mapema January2024 atakua nyumbani kijijini akiwa mtupu wa fedha kama alivyoondoka tu...
 
Afadhali mzee ana akili kumbe alikumbuka kutuma nyumbani kiasi kwa mke wa ujana wake !! 😂japo sijui ni kiasi gani lakini kama alikumbuka Big up sana mengine ni ubinadamu na huenda alituma 60% hii 40% akala na kimwana !! Na alituma kwa sababu huenda mama watoto pale home ndo mastermind wa kuoparate na kuhakikisha mitonyo inazunguka na inarejesha faida huyu kwa kuwa ni mtumishi muda mrefu hiyo michezo ya biashara haelewi. Funzo tuoe wanawake wenye akili

Wengine hapa mkiona tu matako mnaanza kukataa na watoto wenu na wake zenu na matumizi mnaacha kutoa , mnakuja kujiliza watoto wakiwa wakubwa wawasaidie ila jeshi akasema hapana kuna mtu aliyekua ananiamsha kwenda mzigoni, ananitia moyo sikupanda daraja miaka 6 😂😂 akamtia kwanza kibunda halafu ndo kaenda kutafuta mrembo ajikumbushie enzi sasa , Bahati nzuri hakumeza Viagra hivi vizee vinafiaga kifuani

Kosa lake linasameheka na linaeleweka hawa ni watu wazima tunategemea mkewe nae awe kwenye 50's 😂😂
 
Afadhali mzee ana akili kumbe alikumbuka kutuma nyumbani kiasi kwa mke wa ujana wake !! 😂japo sijui ni kiasi gani lakini kama alikumbuka Big up sana mengine ni ubinadamu na huenda alituma 60% hii 40% akala na kimwana !!

Mwanaume hata kama ana michezo ya hovyo ila akikumbuka nyumbani akatekeleza majukumu yake huyo ni shujaa.

Wengine hapa mkiona tu matako mnaanza kukataa na watoto wenu na wake zenu na matumizi mnaacha kutoa , mnakuja kujiliza watoto wakiwa wakubwa wawasaidie.
Mmhh alimtumia pesa ya kula siku mbili huku akiahidi anampelekea zagazaga nyingine!
 
Miezi minne iliyopita kuna mzee aliondoka hapa kijiji cha masakata wilayani tunduru kuelekea jijini dar es salaam 'jiji la maraha.

kwenda kushughulikia miamala ya pesa zake za mafao baada ya kuhudumu serikalini kwa kipindi kirefu,
Mzee aliondoka mwezi wa tano mwaka huu kwa kumuaga bi mkubwa kuwa atarejea baada ya wiki moja.

Pia kukiwa na shabaha ya kurudi na pesa za kuwekea sawa mashamba yao,
,kweli alifika mjini akakutana na mwanawe mkubwa wa kike aliyemsaidia kurahisisha shughuli zake za kibenki.

Huyo mwanawe naye kidogo alihamdulillah anahudumu kwenye wizara moja nyeti,
Baada ya kuchukua maokoto mzee aliweza kutupa kiasi cha pesa kwa bi mkubwa baada ya hapo,
mzee hakupatikana tena si kwa simu wala salamu .
Watu walihangaika vituo vya polisi na mahospitalini ,mochwari ,baa zote na vijiwe vya kahawa ,ikawa hakuna majibu.

Cha kushtusha ni jana mzee amepatikana huko mbezi kwenye nyumba moja amefungiwa na binti mmoja umri wa mwanawe ,akiwa hana hata wasiwasi na hajui kama watu wanahangaika wala kaacha bi mkubwa huko home.

Mzee amekamata remote hana hata mashaka bi mdogo amemmwagia udambwi dambwi juu ya meza,
baada ya kumkuta hapo palizuka vurumai kubwa nguo kuchanika ili kumtoa mzee pale nyumbani kwa bi mdogo.

Huku mzee akiapa kutaka kuwaachia radhi watoto wake na bi mdogo akitaka kuwafungulia mashtaka watoto wa mzee kumletea fujo nyumbani kwake!

Angalizo :wazee wasiachwe peke yao kwenda kufanya miamala wasije angukia kwenye mikono isiyo salama!
Kweli wapewe mtu wakwenda nae maana na matapeli wanawalia time hapo hapo
 
Kama alitekwa au alipatwa na ugonjwa akafariki Je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom