Ali mfuruki aungana na wakenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ali mfuruki aungana na wakenya

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LE GAGNANT, Feb 21, 2012.

 1. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI BWANA ALI MFURUKI AMEUNGANA NA WAFANYABIASHARA WA KENYA WALIOWEKEZA TANZANIA KULALAMIKIA HASARA WANAZOPATA NCHINI. ANASEMA BIASHARA NI NGUMU TANZANIA KULIKO ILIVYO KATIKA NCHI NYINGINE ZA UKANDA HUU WA AFRIKA MASHARIKI. ANASEMA BIASHARA ALIZOWEKEZA KENYA NA UGANDA ZINALIPA KUIKO ILIVYO TANZANIA. MAZINGIRA YA KUFANYA BIASHARA TANZANIA SI RAFIKI KWA WAWEKEZAJI WENGI HASA KUTOKA KENYA.

  SOMA ZAIDI HAPA: Fight or flight? Dilemma of Kenyan investors in TZ  - Smart Company |nation.co.ke
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ally Mafuruki si ni mkenya ?
   
 3. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ONA COMMENTS ZA WAKENYA KWENYE HIYO NEWS, LO!

  1. Submitted by okamala
   @Njei06, you my want to give a thought to what can be referred to as sibling rivalry/jealousy. On Tanzania providing better investment opportunities, I think our biggest late down is the apparent hurdles that investors encounter and the general cost of doing business. When you have poor roads/road networks, high cost of electricity and fuel, these are not favorable ingredients for investor attraction.


   Posted February 21, 2012 01:55 PM  2. Submitted by daraja
   Kenyan business society should go north and invest in South Sudan.It is possible Tanzanians still harbor the notion that we Kenyans are"mabebari."


   Posted February 21, 2012 01:09 PM  3. Submitted by machemo
   I have worked in Tanzania and i fully agree on getting the right work force,Tanzanians are not aggressive,are Reserved,suspicious of Kenyans all the time and they kinda misuse the unity they have in ganging up against anything that is Kenyan


   Posted February 21, 2012 12:08 PM  4. Submitted by Njei06
   While i agree with some facts in this article, i toyally disagree with others like the one saying that Tanzanians would buy South African goods at twice the price of Kenyan goods !The Deacons shop that is closing in Dar has 80% of its goods from SA. IT is only a question of proper due diligence before you open a business anywhere and not just Tz. What became of the old P.E.S.T. analysis in business planning?


   Posted February 21, 2012 09:57 AM  5. Submitted by rofi
   Kenya should forget EAC and form win/win relationships with individual countries such as Rwanda, South Sudan and so on. TZ is scared of Kenya's work ethic and commitment to delivering results. They know they will be swamped. It could be for the reason why some people here are saying Pwani si Kenya, because they cannot compete.


   Posted February 21, 2012 08:17 AM


   
 4. i

  iMind JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kama umewahi hata kufikiria tu kufungua biashara au kufanya biashara, utakubaliana kuwa Mazingira ya Biashara Tanzania hasa biashara za kati siyo mazuri sana. Pango kubwa ya umeme na overhead costs kubwa katika uendeshaji wa biashara ni tatizo. Workforce pia ni tatizo. Watu wanapenda kulipwa mishahara mikubwa wakati they dont deliver kivile. Ushindani usio wa haki pia ni swala lingine although hii pia lipo katika nchi nyingi hata zilizoendelea. Kwa kweli kuna changamoto nyingi na vyema serikali ikaanza kulitolea macho hili swala.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ****** tu.kama biashara ngumu tanzania,waende kenya,uganda na rwanda wanachonga'nga'nia ni kipi?
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Talking down your own people ni ukoloni na mufilisi wa identity. Kama vipi Mufuruki ahamishe biashara zake Tanzania apeleke huko anakoona ni bora. Yes, Tanzania sio perfect lakini sidhani kama kuna mtu anataka hii nchi iwe kama Kenya. Na kitendo cha kuosha your ditry linen nyumbani kwa jirani ni aibu and worst of all ni mtu kama Mufuruki ndio anasema hayo!

  Woolworth imejaa nguo za kizee except for a few items. Na bei za ajabu kabisa. Cardinal rule no 1 kama unatakiwa kufanikiwa kwenye biashara yako ni kujua culture/tabia za mahali unapofanya biashara. Kuna viduka vidogo dogo Dar lakini wanafanya biashara like hell. Nguo za woolworth kama ilivyo kwa maduka kariakoo zinatengenezewa China. Ukitafuta kwa makini Kariakoo kuna vitu vizuri kabisa (if you know the place well) kwa fraction ya bei za bei za woolworth & trueworths. Watu hawanunui vioo au viyoyozi, they just want the damn garment at a reasonable price.
   
 7. S

  Snitch Senior Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poor mufuruki , poor mufuruki , poor kenyans

  We have what it takes to protect whats best for our country Identity and dignity as well, nobody forced them to come and invest here,

  Who are the Kenyans bytheway, ?

  We haven't heard South Africans complaining all those Craps,
  Guess What ?

  They are making ... Period ...The Game and Shoprite etc ,

  You can't just complain without making any concrete reason..

  They are selling products from South Africa at a very high price while we have our local peoples and shops who are buying their products from SA as well,

  Sasa Hoja sio Kodi ni survey ...
  Kama hawafanyi survey ya vitu gani watauza na quality gani Hilo ni suala Lao ,
  Halafu wabongo they should be aware that sisi wabongo I repeat Sisi wabongo

  No time for fake things. Kwa wale wanaojua vitu?
  Sasa wao wanapaswa kujua Kama Dar ni ngumu kuwekeza waendelee sehemu nyingine!
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Pamoja na umuhimu wa kufanya utafiti wa masoko katika biashara ,pia TZ tuna tatizo la kodi na umeme,tuna kodi nyingi mno ambazo hazina faida,pia umeme uko juu sana na usisahau hata rent ya sehemu za kufanyia biashara ni kubwa sana,kufanya biashara na TZ na kupata faida inabidi ukwepe kulipa kodi na ndio maana makampuni makubwa ya simu,madini yanakwepa kulipa kodi,kibaya zaidi TZ ni kuwa ni kampuni ndogo katika biashara ndio zinalipa kodi.
  Inasikitisha kuwa biashara nyingi zinakufa kifo cha mende,ambapo mwekezaji hupata hasara kubwa na pia wafanyakazi hujikuta wako mitaani tena.Hata ukilinganisha vitu ,kununua Kenya ni nafuu kuliko kununua Tanzania.Tuache ushabiki mazingira ya kufanya biashara halali Tanzania ni magumu sana.
   
 9. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tatizo la hapa tz ni kuwa watu wanaohusika na planning and enforcement of policies wanakuwa kama vile wako hapa kutengeneza pesa tu na hawahusiki na failure baada ya hapo!

  Cha kuwakumbusha hapa ni kuwa hawana mahali pengine pa kwenda bali watabaki tu hapahapa. Matokeo yake zile faida ambazo zingesambaa kwa wananchi wote zitageuka matatizo kwa wengi ambayo yatawaathiri na hao wapangaji wa hizo policies.

  Nawashauri tu watu wanaosimamia uchumi wabadilishe mwelekeo, hii nchi ina potential ya kusonga mbele na hilo wote inabidi tulijue. Hao wakenya, waganda, Rwanda, Zambia nk mambo hayatokei tu kama mvua (yaani kusubiria kuwa 'Alhamdulilah, Mwenyezi Mungu ataleta Heri') bali watu wanapanga mipango na kuitekeleza na ndio kisa cha kujenga mazingira bora ya biashara.

  Tuache uswahili!
   
 10. s

  sanjo JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Utamaduni wa kukataa kukosolewa hata kama mapungufu yetu ni ya kweli ni mbaya sana. Nani anakataa kuwa umeme wa TANESCO hauna uhakika? maji ya DAWASCO hayana uhakika? Nani anakaa kupata TIN na VAT certificates vina usumbufu kweli kweli ingawa ni njia nzuri ya serikali ya kuongeza wigo wa walipa kodi? Nani anabisha rushwa na 10% ndiyo lengo la kwanza kwa watu tuliowapa dhamana ya kusimamia vitengo mbalimbali vya serikali?

  Watanzania kama hatubadilishi utamaduni huu wa kuwajibika, kukubali kukosolewa tutaendelea kuwa vichekesho na shamba la bibi.
   
 11. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Few Things nime note kwenye hiyo Article iliyotoka kwenye The East African

  1. Bei ya umeme kuwa kubwa - Sidhani kama ni big deal cause Kenya na Uganda bei zao za umeme ni kubwa kuliko bongo
  2. Deacons walitarget middleclass ambayo Kenya ni 49% of the population,Uganda 32% na TZ ni 12% so ishu hapa ni
  target market yao (ambayo imewafanya waweke unreasonable prices) ni ndogo ukilinganisha na Kenya na Uganda wanapotengeza faida kubwa
  3. Human Resource problem - Hamna ubishi wabongo attitude yetu bado ni mbaya sana na ya kijamaa inabidi tuamke tukiajiliwa tunataka mishahara mikubwa wakati ni wavivu na tumezoea majungu,Fitna na umbea kwa mliopo maofisini nadhani mnajionea hili japokuwa si kweli kuwa Wakenya wana akili kuliko sisi shida yetu ni uvivu na kutojiamini
  4.Mazingira ya kazi - Kuna ukiritimba na udhalimu usiokuwa na vichwa wala miguu
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hUYU MAFURUKI kumbe ni mkenya?/ahamishie biashara zake kenya,nafikiri itakuwa easy kwake kuendesha biashara kwa faida zaidi
   
 13. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  sounds very familar,Kuhoji uraia wa yeyote anayekosowa utendaji nchini.
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Pale W-Store pair ya sleeveless vest ni 56,000......kariakoo moja ni 3,500....pamoja na tofauti ya ubora lakini hii tofauti ya bei iko juu sana
   
 15. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kuwa hawa wote katika ukanda huu wa Afrika mashariki wana pendelea zaidi kufanya biashara Tanzania,huku kulalama ni kauli za kibiashara siku zote wafanya biashara wanataka kupata zadi,kama Uganda,South Sudan ni bora wasilalame waende tu.
   
 16. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kuna wakati niliwahi kuwauliza Wakenya fulani ambao wamewekeza Tz,kwa wakati ambao walikuwa ndio wanaanza kuwekeza. Waliniambia Tz beauracracy inasumbua sana. Yaani mfano unapoingiza mzigo kutoka nje,kuna mlolongo mrefu sana inabidi kuupitia. Ili uweze kuipeleka bidhaa yako sokoni.
  Ila hapa nimegundua kuwa wengi ya wafanyabiashara waliohojiwa wamezungumzia kuwa Percentage ya middle class ni ndogo. Hii inanipa ishara kuwa target yao ni kuwafikia middle class.
  Pamoja na yote,serikali yetu inapaswa kufanya kitu kwa ajili ya kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.
  Na mimi ninachotamani ni kuona idadi ya wawekezaji wazalendo inaongezeka.
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wahamie huko kwenye mazingira mazuri waache kulalamika.
   
 18. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  lakini mkuu wanaongea hivyo wakiwa wanafunga biashara na kuondoka!

  Chunguza pia, vikwazo wanavyoongelea viko so practical na ukiangalia hata wengi wetu ambao sio wawekezaji vinatukumba pia. Tusiridhike na matatizo/umasikini kama 'wazee' wa Simba na Yanga!
   
Loading...