wale wale, chuki, hiyana na majungu. Huna hoja, yakhe yakhe kitu gani?
Ovyo babu! Watu wanahesabu mahindi unahesabu mabuwa!
wale wale, chuki, hiyana na majungu. Huna hoja, yakhe yakhe kitu gani?
Kuna siku utaingia kwenye kumi na nane, Igunga uliponea chupuchupu mpaka mkauwa watu na kutembea na mapanga mchana peupe!!!!!!!!! Sasa endelea na viapizo vyako hivyo tutakutafuta kupitia kwa mamodarotor tukuvishe TShirt na kukupa kadi!!!!!!!!!!!Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
MUSHIMBA? from moshi?
Sa unafikiri hao wanaofanya hivyo ni waenda wazimu? wana sababu za kufanya hivyo na kwa sababu hizo hizo na nyenginezo CHADEMA haiwezi kuwa mbadala kule Zanzibar.
Hebu naomba sera na Dira ya CHADEMA kuhusu Zanzibar kwa ujumla!
Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
uMEONA EEEH...Kila mara nimekuwa nikisema ushindi katika siasa za tanzania kwa chadema its just a matter of time ni nani alijua ngome za ccm za dar na kanda ya ziwa kama mwanza kuongozwa na chadema na ccm kusahaulika katika majimbo hayo muda ndio utakaoihukumu ccm na wazanzibar wataamua sasa kuchagua mkombozi na sio walewale wenye mawazo yaleyale
malaria sugu from milembe?