Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,142
Ok
Ina husu na nini kuitaja zanzibar nawe, kafanya mmoja na yamalizie kwake, usiamshe walolala mankachara. Wazanzibari wanaajenda zao muhimu mwaka huu, na wanazifahamu kwahakika ya mambo.Wacha kuwaaibisha wazanzibar. Kama huna la kuandika si usome tu thread za watu.
Ivi zile sjui BVR za NIDA zimepatikana uko arushaTatizo wote uliwataja Hapo walikosa elimunl dunia
Mweh! Ebu muulize Jeri muro Mimi sijui. Kwani umeniona nazo😁?Ivi zile sjui BVR za NIDA zimepatikana uko arusha
Mweh! Ebu muulize Jeri muro Mimi sijui. Kwani umeniona nazo?Ivi zile sjui BVR za NIDA zimepatikana uko arusha
Soma id yakeIna husu na nini kuitaja zanzibar nawe, kafanya mmoja na yamalizie kwake, usiamshe walolala mankachara. Wazanzibari wanaajenda zao muhimu mwaka huu, na wanazifahamu kwahakika ya mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hana la kuandika namshauri akapike urojo na bagia...Wacha kuwaaibisha wazanzibar. Kama huna la kuandika si usome tu thread za watu.