Ali kiba ni kati ya wasanii walioalikwa kutumbwiza siku trump anaapishwa

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Kweli mziki wa bongo flava unapaa maana si kazi rahisi msanii wa bongo flava kuhudhuria na kutumbuiza kabisa siku ya kuapishwa rais mteule wa Marekan bwana Trump.

Kwa taarifa rasmi kutoka white house zimethibitisha kuwa kiba atakuwa ni mmoja wa wanamziki walioalikwa kutumbuiza siku Trump anaapishwa.

Tumtakie kila la heri King kiba ili akatuwakirishe vizuri wana watz bongoflava to the world.
 
Kweli mziki wa bongo flava unapaaa maana si kazi rahisi msanii wa bongo flava kuhudhuria na kutumbuiza kabisa siku ya kuapishwa rais mteule wa marekan bwana trump

Kwa taarifa rasmi kutoka white house zimethibitisha kuwa kiba utakuwa ni mmoja wa wanamziki walioalikwa kutumbuiza siku trump anaapishwa

Tumtakie kila la kheri king kiba ili akatuwakirishe vizur wana wa tz....bongoflava to the world....!!!
umeimiss ban, ngoja mod waje wakusome na mada zako za mwendokasi :D:D:D:D
 
Thubuuutu!! Labda yule babu yake na kiba (bushmen) maana yeye kuna kitu Trump atashangaa maana bushmen ni primitive na pia ni tourist attraction, ila sio kibakuli. Kuna akina Bruno mars wana vocal kama wametoka mars.....!

Ni sawa na wamarekani wakitaka msanii wa Hip Hop afu wamfuate Nicki mbishi wamuache mnyamwezi Kendrick Lamar au mkali Kanye!

Senseless.
 
Back
Top Bottom