Ali kiba: My album is on the way

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Msanii mkongwe Ali Kiba ametangaza rasmi kuja na album yake hivi karibuni. Alikiba kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba mashabiki wake ku subscribe kwenye akaunti yake ya YouTube ya Alikiba kwani album yake ipo mbioni kutoka.

What is your take, kwa trend ya Alikiba hivi karibuni unategemea album ya aina gani?
 
Album is on the way mkuu. Usijali, tuko hapa kuwarekebisha ngeli yenu ili mjifunze vizuri.
 
Back
Top Bottom