playboy baabu
Member
- Feb 4, 2016
- 83
- 12
Unaonaje kama ungeanza kuniuliza babu yako nlianza kufungua mkito saa ngapi afu na ww ndo ungekoment mjukuu wangu ?...uthikurupuke siku nyingine sawa mjukuu wangu eeeeeh...basi sawaaa ahsante kwa kuniahd kwmb hutokurupuka tena kudandia trenNauliza sababu kwa mida hii ya Tanzania mmmh, danganya wengine.
Hata ungekuwa unamuongelea Baraka dexPrince ningeuliza tu.
Unaonaje kama ungeanza kuniuliza babu yako nlianza kufungua mkito saa ngapi afu na ww ndo ungekoment mjukuu wangu ?...uthikurupuke siku nyingine sawa mjukuu wangu eeeeeh...basi sawaaa ahsante kwa kuniahd kwmb hutokurupuka tena kudandia tren
Yaah coz wenye roho mbaya pia mlikuwa mnadownload ndo maana inaleta tabu kidogo na mafundi kama hawa wanapoachiaga ngoma ni kawaida mtandao kuishiwa pozi...pole mjukuu wangu vumilia tuu kiba ndo alivyo Kazi Ake kuwaumiza tuuHahahaaa ka na ubabu wako utajiju, watu wamelala nyimbo inachukua masaa 24 kudownload kwa kila mmoja....teh teh teeee
Yaah coz wenye roho mbaya pia mlikuwa mnadownload ndo maana inaleta tabu kidogo na mafundi kama hawa wanapoachiaga ngoma ni kawaida mtandao kuishiwa pozi...pole mjukuu wangu vumilia tuu kiba ndo alivyo Kazi Ake kuwaumiza tuu
Loooooh maskini kumbe hata hujui kwamba baloz hakutoa pesa kwenye ngoma ile hahahahaaaa mjukuu wangu ungelala tuu napoteza muda kumbe.... What he waiting for is profit only frm that sht sawaOk kumbe unanijibu sababu ya Kiba, unachekesha kweli na sijui nini nani...
Oops babu kumbuka mwisho wa siku ni pesa ngapi inaingia baada ya kutoa costs zoteeee.
Acha kulazimisha vitu, vitajionyesha tu kama ni vyakuonekana au kupanda.
Loooooh maskini kumbe hata hujui kwamba baloz hakutoa pesa kwenye ngoma ile hahahahaaaa mjukuu wangu ungelala tuu napoteza muda kumbe.... What he waiting for is profit only frm that sht sawa
Ulidhan nakujibu kuhusu nn maskin ya Mungu hukusoma eeehOk kumbe unanijibu sababu ya Kiba, unachekesha kweli na sijui nini nani...
Oops babu kumbuka mwisho wa siku ni pesa ngapi inaingia baada ya kutoa costs zoteeee.
Acha kulazimisha vitu, vitajionyesha tu kama ni vyakuonekana au kupanda.
kwa jinsi alivyomwepesi kupaniki...Kwa wimbo alotoa Ali K akustahili kabisa msanii mkongwe kwa Game kama yeye.Afu baadae muanze kulalama mtv Base kwa kawimbo wa Hussein Machozi.
Labda Ikitokea akihojiwa Ali K na wachambuzi Wa muziki.Akiulizwa mbona ngoma linafanana na Ngoma la Hussein Machozi?
Ali K atajibu nini?
nilivoona hiyo comment yake nikagundua huyu jamaa ana tatzo kubwa sana...Huwa mwanaume anayekimbilia kuwaongelea wazazi kwenye issue zisizo za lazima huwaga simtofautishi na mwanamke. Huwezi kumtetea msanii umpendae bila kuhusisha baba au mama?
Acheni izo
Nikujibu kuna swali uliloniuliza? Pole nduguUnalia nn jibu swali puuumbav.... Me ukinifananishe na mwanamke nafurahi tu kama ambavyo nakufananisha ww na nguruwe na naomba ufurahi plllllllllz hahahahaaaaa...
Asa kwann ulishobokea dundo bila kujua me nliuliza swali ukajileta tu bila kujua nyi ndo mnapataga mimba zisizotarajiwa pumbaaaaavNikujibu kuna swali uliloniuliza? Pole ndugu
Pole Ally Kiba, usimalizie hasira kwanguAsa kwann ulishobokea dundo bila kujua me nliuliza swali ukajileta tu bila kujua nyi ndo mnapataga mimba zisizotarajiwa pumbaaaaav
Ungekuwa Linnah Sanga ndo inge suit au Ruby Mbwa wetuNingekua mie Mond ningepost insta na fb na social media zote kwamba natoa new single halafu siku ya siku naweka hiyo addicted ya Hussein machozi, itakuwa bonge la tusi nadhani watu watajiua
Poa Jokate yameisha cheriePole Ally Kiba, usimalizie hasira kwangu
Afadhali uharo upo tangible unaweza japo kuushika kuliko ule ushuzi mara visent sina sijui.... Ghafla mwanangu kafukuzwa kwa kikwete... Oooh hamonize kantukana... Mara mamangu namuona kambeba mtoto mgongoni sssssshit kumbe anamuimbia mwanamke hahahahaaaa pale ndo nlichoka unaogopaje kuachwa stupid.. Ona King hatajagi mademu zake wala kumtungia mwanamke ngoma asa jokate kaimbwa mara mbili afu sa hivi King ndo anakula mzigo hahahahaaaaa lv is dynamic game Bro ulimbukeni kidooooogo bado haujakuisha kuisha kajifunze kwa King ov Zamunda... King of all tym King from Kiba empire Ally Saleh Kiba.Huu wimbo ni uharo