Umeongea neno verse kidogo sana karudia rudia tu lupela, no massageWimbo mzuri sema una kelele sana.
Wimbo una dakika 2.49 ila kiitikio kimeimbwa dakika 1.30, sekunde 20 za mdundo kabla ya kuimba na sekunde zilizobaki ndio verse.
Neno Lupe Lupe limetamkwa zaidi ya mara 60.
Ukiusikiliza utadhani unasilikiliza addicted wa Machozi
Asante Kiba, ila jipange walau ufikikie level za Baraka Da Prince
Alitoka nae kimapenzi labdakiba ni mfalme hakuna kama yeye bongo msanii pekee aliyetoka na R.KELLY ndani ya bongo na east africa, no one like him.
Mahaba Yaliyo tukuka ukiyasikia ndo haya.kiba ni mfalme hakuna kama yeye bongo msanii pekee aliyetoka na R.KELLY ndani ya bongo na east africa, no one like him.
Umeonae yani kumbe mashabiki cc ndo tunasababisha vitu poor!!!!Mahaba Yaliyo tukuka ukiyasikia ndo haya.
kweli kwa wimbo huu ndio ategemee kupata tuzo za kimataifa?wakuu K 4 REAL anatisha hii ngoma ni noumaaaa usichezee moto wa K 4 REAL ata monds anaujua ndo maana amekaa kimyaaaa. kiba anatishaaaaaa