Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,813
- 11,501
Na mm nmesema achen kunfananisha chibu na mambo ya kisengeNawatupia lawama wote mnaomfananisha Kiba na Diamond. Mnampa jukumu kubwa kuzidi uwezo wake. Koffi Olomide mwenyewe alisema anatamani siku moja afanye ngoma na Diamond sasa huyo Kiba mngemwacha kwenye level yake. Watanzania kuweni wazalendo kwa kuacha uonevu dhidi ya Kiba. Mtoto wa Tandale yuko level ya peke yake kwa sasa
Mie kipindi hicho nilikuwa tv naiona kwa majirani. Usiseme kuutazama wimbo wa Thriller. Hata huyo MJ nilimuona magazetini. Ngoma kama hizo tuliziimba disco na hakukuwa na video eti Nitaiangalia. Furthermore sina tyme ya kuangalia video nikiwa job, yangu ni kuweka audio nikiwa kazini ama ndani ya gari, na earphones za beat by Dre nikitembea.Kwa hivyo;thriller ya Michael Jackson haikupaishwa na video???
wote tv tulikuwa tunatazama kwa jirani-hiyo thriller,impact ya video yake mpaka leo inajadiliwa Oxford Uni-it was a milestone in the history of musicMie kipindi hicho nilikuwa tv naiona kwa majirani. Usiseme kuutazama wimbo wa Thriller. Hata huyo MJ nilimuona magazetini. Ngoma kama hizo tuliziimba disco na hakukuwa na video eti Nitaiangalia. Furthermore sina tyme ya kuangalia video nikiwa job, yangu ni kuweka audio nikiwa kazini ama ndani ya gari, na earphones za beat by Dre nikitembea.
Yeah, but kuna nyimbo nyingi zimehit hata kabla ya video yake kutolewa! Ciderella ya Ali K 4 example!wote tv tulikuwa tunatazama kwa jirani-hiyo thriller,impact ya video yake mpaka leo inajadiliwa Oxford Uni-it was a milestone in the history of music
hapa hatuelewani,Cindrella ilikuwa for local consumption,local market eg East Africa- Dai anajaribu kwenda beyond hence sasa hivi akiachia kitu he does not have you in mind anajaribu kucheza na mindset za akina Madiba-vitu vinavyokufaa wewe kama mbagala ilikuwa ni vya kutokeaYeah, but kuna nyimbo nyingi zimehit hata kabla ya video yake kutolewa! Ciderella ya Ali K 4 example!
Lupe lupe lupe......rejea aste aste (Ali Kiba ft Chid Benz na FAR AWAY).Sijui ni kukosa washauri!!?