Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

Hayo ni mawazo yako tu. Mbona Mr nice alifanikiwa. Je, walimfananisha na nani ili kumnunisha?

By the way, kwenye interview yake hajazungumzia kuhusu mond. Ntie ndo msiopenda mwingine afanikiwe zaidi ya mond

Yaani mnataka mond tu ndo awe mfanikiwaji.

Ningekuona unaakili kama ungekua mshabiki wa christian Bella au rama dee au dogo aslay. Maana hawa naviona vipaji ndani yao..

Hicho ulichoandika wewe, kinaakisi kuwa upo team gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu. Ukiacha umaarufu na mambo mengine, hakuna msanii anayemzidi mashairi Rama dee. Sikikiza nyimbo zake utanielewa
 
Zimefika
Sio kweli kwamba watanzania hatupendi kuona mtu anafanikiwa lahasha. Kinachokwaza kwa wasanii wetu ni akifanikiwa kidogo matako hulia mbwata na kujiona ye ndio yeye ndio mana waliompandisha wanafanya juhudi zote kumshusha . Huyo msanii wako mwambie ajifunze kua humbled kila mtu atamkubali mbona anajua sana kuimba.
If that is the case mbona yule bongo move marehemu alikua anafanikiwa sana tena sana tu lakini bado alikua na washabiki kibaao wala hakuna aliyekua anamdiss kutokana na mafanikio yake?
 
Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.

Fanikiwa utajua maadui zako. Eti salama, dulla wanamchukia diamond. Fanikiwa utawajua maadui zako
 
Hayo ni mawazo yako tu. Mbona Mr nice alifanikiwa. Je, walimfananisha na nani ili kumnunisha?

By the way, kwenye interview yake hajazungumzia kuhusu mond. Ntie ndo msiopenda mwingine afanikiwe zaidi ya mond

Yaani mnataka mond tu ndo awe mfanikiwaji.

Ningekuona unaakili kama ungekua mshabiki wa christian Bella au rama dee au dogo aslay. Maana hawa naviona vipaji ndani yao..

Hicho ulichoandika wewe, kinaakisi kuwa upo team gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu watu hajui nkisema Paris mzuri simanishi London mbaya. Washabiki wengi wa Mondi wanathani kumpenda Ally tunamchukia Mondi lashaha.
Anaweza jua napenda ndizi lakini sio kwamba nachukia ubwabwa!!! Mpo team mondi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
21147336_483192048706418_6135950915137437696_n.jpg

hahahaaaah nakuonea huruma.....

vp viewers wamefka wangap asaiv?
 
Kiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
exactly hii ndo shida yetu na wivu tu kwa mond. nimegundua wenye chuki na mond ndo wanatumia kichaka cha Ali kiba kumkomoa huyu kijana.

bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi
 
Back
Top Bottom