Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,530
- 93,110
Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.
Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.
La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.
warumi nifah geniveros
Nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze Ally Kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa ID hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya Instagram.
-------------
Ufafanuzi juu ya zawadi
Taarifa ya Mshindi

Kwa hisani ya Mkuu Matola, nathibitisha kuwa amefikisha habari kwetu kutoa zawadi ya thamani ya shilingi elfu ishirini (20,000/-) kwa ajili ya mshindi atakaye bahatika post yake kuwa ya kwanza kuingia ukurasa wa 100 katika uzi huu.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mkuu Matola ambaye ni mwandalizi wa zawadi hii. Zawadi hiyo itatolewa na Moderator wa JF.
Wasalaam!
Taarifa ya Mshindi
Mshindi wa shindano hili ni Mkuu @geniveros ndiye aliweza kubahatika bandiko lake kuingia na kufungua ukurasa wa 100 wa mada hii hivyo kujipatia kifurushi cha thamani ya shilingi alfu ishirini (20,000/-) na amekiri kuwasiliana na Mkuu @Matola juu ya zawadi hiyo.
Pongezi kwa washiriki wote.
JF Team inashukuru kwa uwepo wenu.
Wasalaam!