Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ha ha ha!!,naona Matola upo karibu na eneo la kihistoria alipozomewa mwafulani,yani that area ni his worst nightmare!!Hapo ulipo nadhan Chinga keshachukua bodaboda kuja kula vya bure,mpe tuu

Saa tatu na nusu ndio hii naondoka hapa Octar's pub pembeni ya Ubalozi wa France.

Nitajumuika tena hapa jamvini nikifika nyumbani.
 
Lazima mtofautishe kati ya jumlisha na msalaba, x na zidisha.

Mtasubiri sana, hivi dushelele anatoa lini kibao maana lifti ipo ya Nitampata wapi.?
 
Ha ha ha!!,naona Matola upo karibu na eneo la kihistoria alipozomewa mwafulani,yani that area ni his worst nightmare!!Hapo ulipo nadhan Chinga keshachukua bodaboda kuja kula vya bure,mpe tuu

Hahahaaaa jamani nikisikia kuhusu chinga nachekaje kama chizi?uwiiiiii
 
yaani km namuona vile wakati anaandika hivyo huku kimoyomoyo anasema eeh Mungu nisamehe kwa huu uongo ninaoandika ilihali nikijua ni uongo", hapana chezea kiba wewe

Hahahaaa wewe ni mpole lakini ukiamua unatishaje???
 
nini boda anaona km inamchelewesha, kashikilia ndala mkononi akatimka na akifika utashangaa anajitambulisha yeye nifah

Chezea offer wewe?jibaba litajitambulisha kama mdada....heheeer
 
Lazima mtofautishe kati ya jumlisha na msalaba, x na zidisha.

Mtasubiri sana, hivi dushelele anatoa lini kibao maana lifti ipo ya Nitampata wapi.?

Wewe kama nani unauliza?unataka kumpangia wakati wa kutoa kwani ulichangia gharama za kumlipa Fally Ipupa + video?
Tulia kama unanyolewa gharika linakuja jiandae kusombwa
 
timu bora n magoli cku zote,mtu hajawah kuwa nominees katka tuzo zozote zaid ya kill mtasemaje n king.
 
kumekucha tena, duuh!! kumbe mnazisubiri kwa hamuuu nyimbo zake zingine huku mnajifanya hamumpendi, mcjali atawapa burudani kama kawaaa na mtasuuzika as always
 
Wanajaribu kuupindisha ukweli jamani...huku kimoyomoyo wanamkubali...
Kuna siku nilimuona mtu anamponda Kiba eti ana sauti mbaya anashangaa tunavyomsifia nilicheka sana,sasa the king of r&b dunia nzima alishangaa na kuisifia kwelikweli yeye akimponda ni nani?anaujua mziki kuliko R.Kelly?chuki zinaua jamani

naikumbuka rkely alivyokua anamsifia kibakwa sauti nzuri
 
Sasa ndio wajiulize iweje mtu asokuwa nominated kAtika tuzo wAnazotaka wao awape jamba jamba!pressure na mikunjo ya nafsiii...mnamkubali kiana kumbeee,!nshasema hapa LAZIMA MJEEE kizuri kizuri tu kulaleki!
 
Baambie bAambie...
 
wasijali tumewaelewa kuwa wao nao wamo kundini ila ndio ctaki nataka
 
Back
Top Bottom