Shoga nimeshashtuka hilo li video ni libovu au li audio ndio maana analazimisha hivyo.Keep wasting ua time am not going to watch it even if you quote me a billions or even a trillion time, am not eeeeeeeh yani ua disturbing ua inner heart to someone who doesn't care and arguing with a fool is a wastage of my time keep wasting ua energy.View attachment 269723
Haya sasa....tukisema sisi tunasemwa tuna roho mbaya, tuna chuki na mambo kibao.Jamaa kafunikwa ,yaani katika collabo mbovu ni hii bora hata ile ya Waje ilikuwa mbovu kiasi.
Nadhan its about time Diamond ajifunze specialization, siyo kila kitu cha kufanya vingine vitamfanya azid kupoteza heshima aliojijengea.
Ule wimbo angeimba Mtu kama Barnaba,Marlow hv , Ben Paul au Damian Soul ungekuwa kitu kingine bt siyo Diamond katoka kabisa out na anaonekana kuwa anakuwa out.
Am his fan bt for this song no
Mi hata sijaiangalia najua haina jipya too much collaboration with nothing new. Sauti yake haiwezi kuendana na wasanii wengine mana hana pumzi anakua anahemea juu ka bata aliyekimbizwa.Jamaa kafunikwa ,yaani katika collabo mbovu ni hii bora hata ile ya Waje ilikuwa mbovu kiasi.
Nadhan its about time Diamond ajifunze specialization, siyo kila kitu cha kufanya vingine vitamfanya azid kupoteza heshima aliojijengea.
Ule wimbo angeimba Mtu kama Barnaba,Marlow hv , Ben Paul au Damian Soul ungekuwa kitu kingine bt siyo Diamond katoka kabisa out na anaonekana kuwa anakuwa out.
Am his fan bt for this song no
Haya sasa....tukisema sisi tunasemwa tuna roho mbaya, tuna chuki na mambo kibao.
Halafu nilishtuka tu kua hiki kitu ni kibovu ndio maana tunalazimishwa hivi kukiangalia.
Tukiwaambia King kiba ndiye bora watu wanakataa, lile ni jeshi la mtu mmoja, hategemei collaboration wala nini lakini anakimbiza.
Hizo collaboration zenyewe anazozitegemea anafunikwa vibaya sana.
#UkweliWakoUmekuwekaHuru
Mi hata sijaiangalia najua haina jipya too much collaboration with nothing new. Sauti yake haiwezi kuendana na wasanii wengine mana hana pumzi anakua anahemea juu ka bata aliyekimbizwa.
Hyo ya waje sauti haisikiki kameza maneno.
Tena bora ajipumzishe na mi collabo mana hana jipya kila sehemu anafunikwa. Wanamziki wengine mziki wao tofauti ndo kama naona watu wakimchoka tu kirahisi.
#NakedTruth
Tuzo yenyewe ya kituo cha television inaringishiwa hiyo....
Ni sawa na Rich Mavoko apate tuzo kutoka ITV halafu aringe
Hahahaaaa
Hata hivyo tuwape muda tu wapunguze stress maana tuzo 7 ndani ya mwezi mmoja alizopata King zimewapa watu stress sana.
how old are u????oyooooooooooooooo
maneiner MTANYOOOKA MWAKA HUU
WAPI WAZEE PORI???
Oyoooooo uwiiiiii hapo sasa ndipo kivumbi kitakapokuwa.Oiiii Team Kiba its afrimma
how to vote for itOiiii Team Kiba its afrimma
Oyoooooo uwiiiiii hapo sasa ndipo kivumbi kitakapokuwa.
Lazima pachimbike....
Tutaheshimiana tu mjini hapa.
Huyo sina time naye tena.Niko happy hapa baada ya kupata nomination kwenye Afrima.nifah Diva Beyonce muacheni huyo kichaa kidingi anaharibu mazingira tu hapa
how to vote for it
thanks lets discuss about important award n thing in kingHuyo sina time naye tena.Niko happy hapa baada ya kupata nomination kwenye Afrima.
#TutaheshimianaTu
Bundle nalo sometimes ni shidaa