Ali Kiba Fans' Special Thread...

Salamu kwa bibie nifah zimefika kabisa worry out.Teh teh MTV wa intaneshno recognized na wa wish all the best you tujiandae kudorishiwa au kunywa juice ya ukwaju.

thread itavamiwa na alshababi hii wakichukua ila naamini davido hata tuangusha mana wizkid hata kura hakuomba xo davido atatutoa kimasomaso ! #kiba junior
 
Last edited by a moderator:
thread itavamiwa na alshababi hii wakichukua ila naamini davido hata tuangusha mana wizkid hata kura hakuomba xo davido atatutoa kimasomaso ! #kiba junior
Na muuza njiwa atarudi sa ivi imebidi wapoe ka maji ya mtungi wanasubiria tuzo tu. Yani na Mimi nampenda Yemi yalade ashinde nyimbo zako hunikosha sana tu.
 
The successfully plans of diamond fans (silent)
 

Hashindwi ni suala la connection tu.. dimpoz kaunganishwa na ay, shetta kaunganishwa na diamond.... akiomba msaada na yeye ataunganishwa kama vipi, dangote sio mchoyo kabisa
 
Hashindwi ni suala la connection tu.. dimpoz kaunganishwa na ay, shetta kaunganishwa na diamond.... akiomba msaada na yeye ataunganishwa kama vipi, dangote sio mchoyo kabisa

Kiba hana ziki ya kuunganishwa na uyo naseeb kama connection anayo tayari wait and see ,
Kwanza kuna ulazima Wa Kiba kuimba na mnaigeria?
 
Naona uzi umerudisha makali yake pwilo
....swalama humu
 
Last edited by a moderator:

Heheh kwa sababu hatoi sare na diamond!! Teh!!

Ubunifu mnaoutaka ni ka vile anavyofanya diamond of which sivifagilii hata robo nothing new! Atleast nitajie pacha wangu ya Rich mavoko hapo naweza kunyoosha mikono.

Ni sawa na mnavyoisifia Nakupenda ya Iyanya na Dai wakati ni normal saaana......mno yaani! Haigusi hata robo kwa Ololufe ya Mr Flavour ft Chidinma.
Same goes kwa wale wanaoshabikiaga Johnny ya Yemi Alade wakati Ole Themba ya Lina ipo mwake vibaya mno......basi tu mradi majina, mradi waliwahi kufanya vile au hivi!
 
Mkuu hio sio ishu ni kitu kidogo saana.. Ndio maana mtv hawamfahamu kiba mpaka leo, trace ndio kwanza wameanza kumjua na chekecha last month... Watu wanashindwa kutofautisha kuiwakilisha nchi, kukuza sanaa na kufanya project na msanii wa kimataifa...

Heheh eti Trace ndo wameanza kumjua Kiba last month!!
Endeleeni kuombea hivyo hivyo!
 

Kabakuli jina zuri kuliko domokaya.
 
mkuu umeangalia lakini ule wimbo wa one8 (hands across the world) kila msanii kashika bendera ya nchi yake akiwemo kiba wa kwanza kuimba go n see it!

Kiba atajuta kushiriki one8
 
wallah ndo imekuwa kama kisingizio et kiba hajulikani mtv c zarau hizoo

Tufanye kama Kiba hajulikani popote hapa duniani.
Nadhani ndo wanachotaka kusikia.
Ivi kubishana na hao mipapa huoni kazi?
 
Tufanye kama Kiba hajulikani popote hapa duniani.
Nadhani ndo wanachotaka kusikia.
Ivi kubishana na hao mipapa huoni kazi?
wanaboa bwana nawapotezea lakinii waapii bado wanazidi upuuuzii but lets ignore them
 
wanaboa bwana nawapotezea lakinii waapii bado wanazidi upuuuzii but lets ignore them

Kuna muda wanaongea vitu vinaeleweka, kuna muda kama mazuzu tu.
Sasa wakiwa katika uzuzu wao kuna haja ya kupoteza Calories zako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…