Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Hiii imeshakuwa common adi sielew tunawakosea nini hawa watu...ujue hasira imenikaba adi natamani ningekuwa naishi na hawa ma mode jirani.
Yani comment zetu daily wanazifuta. Ina maana wametufanya fools wa hili jukwaa na huyo ansyefuta mbona analeta utoto. Ka hawapendi comments zetu waufunge Uzi kabisa. Ndo mana huwa naipenda Instagram haina shobo no ban. Yani mda wetu bundle zetu mda wetu wafute comments. Please Invisible #BringBackOurComments .
Niniiiiiiiiiiiiiii??? Inamaana tangu asubuhi tulikuwa tunafanya nini hapa?
Hiii nii zaidi ya chuki.
Adi natetemeka hasira.
Kwa nini coment zetu zifutweee? Invisible Moderator JAMII Forum.
Ni nini tumewakosea ninyi watu??
Mbona mnakuwa na tabia za kichuki juu yetu?....naichukia JAMII FORUM acha niangalie somewhere to go...
Sad
Chukii tuuu...sielewi wana nini jamanii..duuuhh
Yani ina bore nadhani anayeongoza ili jukwaa sijui ana shida gani waufunge tu uzi mitandao ni mingi. Wasitufanye wajinga hapa. Yani matusi huwa wanayaacha ila comments ndo wanazifuta. Its boring mfyuuuuuuuuu zao.
Wamefuta tena
Hahaaaaa waufute tu wote jukwaa bila comments si jukwaa Invisible wa hili jukwaa acha mambo yako ya ajabu sio sifa wala nini.
Kwanza bora tu kuacha Ku comments na hii futeni tena. Bila sie hicho kibarua mngrkipata. Its boring acheni hzo Fanya kazi yako kihalali. Uu ni ushabiki wa kipuuzi. Moderator.
Diva Beyonce et nn kimetokea humu
Huu ni unyanyasajiiiii....
Alafu kumbe wanatusoma lakini wanakaa kimya...
Kwa nini wasituambie sababu ya kufuta coment zetu??
Nachukiiiiaaaa
mbona coment zimefutwa cute b
Diva Beyonce et nn kimetokea humu
Kwa hiyo kila kinachoandikwa kinafutwa hapo hapo?
mbona kwenye nyuzi nyingine hawafuti coment ??? y
Kwa hiyo kila kinachoandikwa kinafutwa hapo hapo?