Hayaaaa chekecha cheketuaaaaa!
chekecha chekecha cheketua
King anajua kuniweza, anafanya nimsubiri kwa hamuuuuuu, maana najua tu booonge la kitu kinakuja, hiyo colabo na fundi mwenzie daaaah, ninavyomkubali Bella sipati picha!
Jaman wale ambao hatukulipia ving'amuzi na kushindwa kuona interview ya kiba citizen tv
...kiba leo ameirusha kwenye page yake YouTube nendeni mkaone busara za mfalme.
#:thumbup:kibamiakaelfumoja
Nilisubcribe basi fastaaa nikapata taarifa nimeshaicheki kwa mara nyingine.
Ku subcribe ndo unafanyaje mamy ata sijuii nielekezeee
Ukiingia tu kwenye ile page ya video, chini ya video upande wa kulia karibu na panapoandikwa views kuna mahali pameandikwa "subcibe" basi wabofya tu pale yakheee
Pale tayar mbona nimemsubcribe kiba na nikirudia inaniambia tayariii
Sasa kumbe nini tatizo tena?
Hivi Kiba kajibu jibu gani baya kuhusu diamond kwenye iyo interview ?
Maana kuna bint kasema bifu aliishi mpka Kiba aache kufanya interview za kipuuzi na asitembelee nyota ya dai
Invisible hivi kwanini bado mnafta comments zetu yani sisi tupoteze mda wetu Ku comment nyie mfute. Ina maana gani basi kuwa na uu Uzi si muufunge tu watu tujue mana kuna mitandao mingine ka Instagram na fb. Mnalolifanya sio vizuri acheni mambo yenu ya ajabu kila siku tu mlalamikiwe. Fanyeni kazi yenu MNA bore. Hapa mtasubiri ka siku nne mfute tena. Wee Moderator wa hili jukwaa ujumbe ukufikie funga kabisa uzi kuliko ku delete comments. Bila sisi ungekua unafta nini. Avemaria ma dia hebu njoo huku.