Kizuri hakichoshi..mziki wa king si big G kama wa yule
Kumekucha now ndio uwanja wao wa kuwangia huu, pepo tokaaaaaaaaaa!!!
Watutolee ndumba zao huku. Wachawi wakubwa...
Babu tale anajua kuaibisha watu jamani ndo nini kuweka wazi vile.
Team domo wanaona aibu balaa hahahaaa
Jana bosi wao kawashushua kawaambia uzalendo unatoka moyoni na sio kwa kulazimishwa. Kila mtu ana haki ya kuvote kwa anayemtaka waache kuforce watu kumvotia yeye hahahaaaa limewashukaje
Watutolee ndumba zao huku. Wachawi wakubwa...
Babu tale anajua kuaibisha watu jamani ndo nini kuweka wazi vile.
Team domo wanaona aibu balaa hahahaaa
Aiseee....
Love mambo
Fresh...nipo na my playlist yangu naisikiliza..king akiwa ndan nyimbo tatu kati ya kumi..life is Good
Ebu sreen shoot nione
Inbox inahusika
Hayaaaa chekecha cheketuaaaaaa
Wazee wa mashindano at work, hawa watu kwa kula matapishi hawajambo, kila siku huwa wanajifariji kuwa hawashindani na King, ila wanachofanya ni quiet different, hiviii kumbe Kiba anawasumbua kiasi hiki!! Ila ndio vizuri maana ndio mnazidi kujidhihirisha kutokujiamini kwenu, mtapanik sanaaaaa ila King hana habari anafanya yake tuuu.
Nyie hangaikeni weeee ila ndio mnazidi kumpaisha yaani, na mnajua ni jinsi gani he is baaaaad, he cant let you sleep you know, hollaaa at King.
Habari yako mtani? Karibu futari!
Habari zenu umu
"Ni mchizi wa bongo macmuga,
Yupo single sana maqmuga "
Lol kiba ni shidaaaa ata akisema hataki mashabiki walai mimi haning'oiiiii.
"Naksh naksh mremboo..
Uliwatosa matoz na vigogo,
Ukaja kwangu ukawapa kisogo..
Ukawaona hawana mpango"
Mweee kiba walai utaniuaaa maana huu wimbo nilitongozwa nao enzi izo nikajihis malikiaaa.
NO MUUNGANO HAPA WALAI
Leo clouzFm wamenipa raha, yaani wameipiga chekecha kama mara3 hivi naona taratibu wameanza kuelewa somo.