hahaa basi cute b labda hamkunielewa mi mwenyewe nina hasira nao walinitukana ila nilichogundua wanampenda sana kiba lakin wataanzaje kujiunga humu wamejaribu kututenganisha na njia zote wameshindwa xo msimamo wetu ule ule sawa cute b yah
huyu kaomba msamaha na soon atajiunga na timu kiba mi mbona sina mda nao labda wafanye kama hivi ila siwez nikakaa nikabishana na hawa punguani sawa Avemaria msimamo wetu ule ule sawa cute batotounanitaka
Tupa kule uchafu huo...
Ila ujue nini mimi nakupenda maana simu yako umejaza nyimbo za kiba sasa sijui unaamkaga na mashetani gani unaaza kumnyamba kiba
Tupa kule uchafu huo...
Ila ujue nini mimi nakupenda maana simu yako umejaza nyimbo za kiba sasa sijui unaamkaga na mashetani gani unaaza kumnyamba kiba