Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
ah sasa usiombe aimbe kingereza utajuta ila yule jamaa mwingine akiimba maneno hayatoki
Kuwa mtu mzima sio adi vu.zi lihamie kwenye paji la uso.
Jitambue acha utoto.
Usiwe una nimention popote.
NAKUCHUKIA KULIKO ATA SHETANI. SIKUPENDI KAMA KONOKONO.
jua ilo tangu leo na usini mention popote unanitia kichefu chefu tuu.
Ni hayo tuu
ah sasa usiombe aimbe kingereza utajuta ila yule jamaa mwingine akiimba maneno hayatoki
Duuh Leo umeunga mkono hoja eeh Leo ijumaa sabato imeanza we n msabato nn😀😀😀
kinafiki tu. mnajifanya mtaka peace kumbe hamna lolote
Huyu anajua kila kitu basi tu kujitoa ufahamu. Anataka peace huku anachochea kuni. Bora kaweka kidela kanikumbusha wimbo niupendao sana#AbouKiba
Well change starts somewhere,
yani nasema hivi hili bifu haliwezi kuisha daimaa nakumbuka hata zito kabwe alishindwa kuwapatanisha kwenye kigoma all star sasa who can ruge hawezi mpaka ye mwenyewe apatane na jide kwanza ndo awapatanishe domo na kiba
Hahaaaa hii lugha ya malkia ni shida jamani bora kuimba tu kiswahili mana wengine wakiimba hawasikii maneno wanang'ata balaa hadi ulimi.
kazi kulia lia tu "hands accross the world pale alifunika hadi kaachiwa aanzee yeye kuimba sio mchezo #kibaaaaaa miakaa 1000000000000000000
utashangaa mwenyewe, soon mambo ya kitoto haya yataisha tu... Believe it or not....
mi nakupenda... & i dont see any problem there, unanichukia??? hahahahaha duuuh hatari sana 💥👈
Usiwe hivo bwanaaaaa
hio sio ishu kiivo, diamond alikuwa na ulimi mzito sana kwenye kikatoliki nowdays amekuwa fiti, hata hivyo mtangazaji wa habari ndio anatakiwa awe perfect ndio maana wakina sean paul wanaimba vitu havieleweki lakini ni moto wa kuotea mbali...
kiba akiongea kingereza utamsahau ww check this one #rockstar4000
inapendeza, japokuwa lugha sio kila kitu cha muhimu kuwasiliana tu.... Ongea na cute b sio vizuri kumchikia mtu bwanaa daaaah namna gani tenaa.... Nimemuona king leo ameshika bango la #SAYNOTOXENOPHORBIA embu tulitendee kazi hili ...
tatizo nyie mnaboa kama vipi ongea na wenzako wawe na heshima walimtukana ndo maana wenzake xo waambie wapunguze matisi na cc ni binadamu one love cute b i will tell her
sawa mkuu..
kiba akiongea kingereza utamsahau ww check this one #rockstar4000