pwilo nakumbuka hii habari ililetwaga humu watu tukafurahi, weeee tulichambwa na magazeti hayoooo eti tumekurupuka na tukaambiwa tuendelee kuota, hivyo kama ni kweli mie nishazimia huku hata sielewi hii msg inajityp tu yenyewe.haaaa ni hivi chrisbrown kaomba nyimbo tatu za kiba azisikilize akatumiwa 1.single boy 2.mwana 3.hands across the world chriss yupo tayari so stay tuned for it surely
Hahahaha wenzio mtaa wa pili bila kuona ferari au hammer basi lazima waseme video mbaya
Meza viwembe kama umekereka, bahati nzuri Team Kiba tupo wataalam wa haya mambo, kwenye film industry hakuna wa kunidanganya kitu, nimebadilisha kazi tu ujuzi haufi na sijawahi kufanya kazi hii Bongo hata siku moja. Hudanganyi mtu hapa.
Watu weweeeeeeee, hizi sasa ndizo colabo, yaani mafundi wanapokutana, sio waongeaji wa kwenye beat wanapokutana, aiiiii ngoja niendelee kucheketua miee
Unataka kusema nini labda la tofauti saaana!!
daah braza heshimu imani ya Mtu bosi,anae jua funga ya kweli ni Mungu peke yke na si vinginevyo sio busara kuanza kutoa hukumu za kipuuzi.
ukianza kui ngiza haya mambo ya kufunga mara nini sijui utakua unawakoseA waislam wote walio funga wanao ingia jf.
tuheshimu imani za wenzetu hata km ni wa team tofauti na yko.
jf tunapita tu!
nifunguke tena
Kojoa ukalale ukumbuke na kuvaa pampasi.
Kojoa ukalale ukumbuke na kuvaa pampasi.
huyo chriss brown anayetajwa ni chriss brown wa Congo au Sudan??? (emphasis supplied)
Unaizungumziaje cheke video..?
Come with some sense wewe ni mwanaume.